Hawa ndo wadada wazuri Duniani

Hawa ndo wadada wazuri Duniani

Ambao hamumkubali Hamisa Mobote angalieni sura hasa mashavu ya huyo namba moja na Tylor Swift shepu za mashavu yao ndo husemekana ni urembo kwa mwanamke....japo mm siyapendi hahaha
 
Hata huyu hayupo kwenye list kweli?
16721635205200-400x493-1.jpg
 
Hata huyu hayupo kwenye list kweli?View attachment 2471201
M-bantu OG ambaye hajawahi kuchanganya damu na raia wa bara asia, ulaya au marekani , hawezi kuingia kwenye hiyo list. Labda awe amefanya plastic/cosmetic surgery na face lift huko.

Kigezo wanachotumia kinawa-favour wao huko.

Ishu ya Golden ratio(fibonacci ratio)/phi, inawakataa dada zetu wa kibantu.
 
Huyu namba 10 kama nae ni mzuri yumo kwenye 10 bora ya dunia, basi mke wangu anastahili kuwa kwenye 3 bora ya dunia.

Hawa uzuri huwa wanaangalia nini, yaani hao make up za kutosha na hawana ukali wa kutingisha. 😂
Kabisa mkuu
 
M-bantu OG ambaye hajawahi kuchanganya damu na raia wa bara asia, ulaya au marekani , hawezi kuingia kwenye hiyo list. Labda awe amefanya plastic/cosmetic surgery na face lift huko.

Kigezo wanachotumia kinawa-favour wao huko.

Ishu ya Golden ratio(fibonacci ratio)/phi, inawakataa dada zetu wa kibantu.
Aisee hii iko kisayansi haswaa naona wanaangalia mpk teeth position 😆 😆
 
Ndo inakuwaje hivyo mkuu
Wanasayansi wanasema kila kitu kizuri (elewa ambacho kinakaribia u-perfect) kinashabihiana na hiyo wanayoita Golden ratio. inapatikana vipi sasa ni jambo jingine ile kwa sura za binadamu inakuwa hivi;

" A visually balanced face is approximately 1.618 times longer than it is wide. The distance from the top of the nose to the center of the lips should be around 1.618 times the distance from the center of the lips to the chin." (Nimenukuu kutoka google).

Wenyewe wanaita "Golden ration for facial aesthetics".

Na ukisoma hapo utaelewa kwanini wote sura zao ni nyembamba na ndefu. Dada zetu wa kibantu sura ni pana kidogo.
 
Wanasayansi wanasema kila kitu kizuri (elewa ambacho kinakaribia u-perfect) kinashabihiana na hiyo wanayoita Golden ratio. inapatikana vipi sasa ni jambo jingine ile kwa sura za binadamu inakuwa hivi;

" A visually balanced face is approximately 1.618 times longer than it is wide. The distance from the top of the nose to the center of the lips should be around 1.618 times the distance from the center of the lips to the chin." (Nimenukuu kutoka google).

Wenyewe wanaita "Golden ration for facial aesthetics".

Na ukisoma hapo utaelewa kwanini wote sura zao ni nyembamba na ndefu. Dada zetu wa kibantu sura ni pana kidpgo.
Oooh nimekuelewa mkuu
 
Back
Top Bottom