Hawa ndo waekezaji wa kichina

Wewe Mleta mada kaa hapo hapo na upumbavu wako watanzania kibao wamewekeza China

Mmojawapo huyu hapa

View: https://youtu.be/QQh-Bakln4E?si=NY2K2KNIIGMZIX3y
Mkuu, watanzania wangapi wameweza kuwekeza China?
Baadaye mtaanza kuwa manamba kwenye nji yenu wenyewe?

Wanatakiwa wawekezaji katika uzalishaji na sio uchuuzi.

Halafu mbona Zanzibar hawaingii? Hakuna mazingira mazuri kwa wao kufanya uchuuzi kule?
 
China angeruhusu wazungu waingie nchini kwake kufanya biashara kama sisi tunavyowaruhuru wa China hadi leo angekuwa wangekuwa manamba wa makampuni ya wazungu.

Jiulize kwanini China aliwabana wazungu na makampuni yao wasifanye biashara China waziwazi
 
Mkuu, watanzania wangapi wameweza kuwekeza China?
Baadaye mtaanza kuwa manamba kwenye nji yenu wenyewe?

Wanatakiwa wawekezaji katika uzalishaji na sio uchuuzi.

Halafu mbona Zanzibar hawaingii? Hakuna mazingira mazuri kwa wao kufanya uchuuzi kule?
Watu wanaropoka tu leo hii mchina anakuja kuuza mabegi au yeboyebo kweli

Nimeamini uwezo wa Tanzania wengi ni mdogo sana
 
Endeleeni kubeti na kushabikia kataa ndoa
Wenzenu watawajengea mpaka nyumba za madanguru,
Mpaka tenda za kofia za chama wao
Mcheke, mnune wao watakuwepo sana mpaka mkimbie
Na ubaguzi utawaisha maana wanazaa chotara pia na wanakuwa wazawa
 
Wakulaumiwa ni viongozi na sio wananchi viongozi ndo wanaowapa vibali
 
Kuna sheria inayokataza wageni/wachina kufanya shughuli fulani?

Tatizo ni wachina au wageni wote?

Nyie mmekatazwa kufanya hizo shughuli kwao? Wabongo na waafrika kwa ujumla wamejaa China, Ulaya na America na wanamiliki biashara kama hizo hizo mnataka nao wafukuzwe huko?

Kama hawalipi kodi hilo ni tatizo lenu sio wao. Inamaanisha mifumo yenu ipo weak. Kwao mgeni au mwenyeji huwezi kwepa kodi.

Watanganyika tafuteni exposure dunia ishakua kijiji huo upumbavu wenu endelevu wakuendelea kuogopa wageni, kutoka nje ya nchi na kuongea kingereza utawamaliza sooner than later.
 
Maadamu wanatoa ajira sio mbaya hata genge wafungue tu ili wachangamshe wabongo wanaoamini bila mganga utoboi
 
Mchina akifungua car wash moja wewe fungua zako mbili. Au wanakuzuia?
 
Kama hawalipi Kodi hizo bidhaa zinaletwa na ungo wakilipa bandarini tosha
 
We umefungua nini

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…