Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,310
- 5,669
Kwakweli 🙌🏾Mimi pia nimesahaulika lakini sitasema 😊
Kwakweli 🙌🏾Mimi pia nimesahaulika lakini sitasema 😊
Huyu mama anatusahau watu muhimu tutamnyima mitano mingine😁😁Mimi pia nimesahaulika lakini sitasema 😊
Mbona sijakuona sasa kule mkuu😁😁Aliyeufyatua uzi wa masuala ya oven ni nani
Binti Sayuni03 zingatia alichosema torvic 😹😹🙌🏾 kanichekesha mmMamaSamia2025 Ni mbaba huyo tena ana kitambii kabisa
😁😁😁🙌yeye kamuona wapi na uongo wakeBinti Sayuni03 zingatia alichosema torvic 😹😹🙌🏾 kanichekesha mm
Apo sasa 😹💔😁😁😁🙌yeye kamuona wapi na uongo wake
Nilikuwa namtania kanisahau kwenye list kaniadd kumbeBinti sayuni huyu huyu anayetupa burudani na nyuzi zake za wababa na maex wake au kuna mwingine? 😹😹😹
Nilikuwepo nipo na nitaendelea kuwepoMbona sijakuona sasa kule mkuu😁😁
HeheheBinti sayuni huyu huyu anayetupa burudani na nyuzi zake za wababa na maex wake au kuna mwingine? 😹😹😹
Mnanivunja mbavu 😁😁😁🙌Apo sasa 😹💔
Aya kaniambie sasa Oven nzuri ni ipiNilikuwepo nipo na nitaendelea kuwepo
Mi mwenyewe sijui chochote ni kama wewe tu tena ni zaidi ya weweAya kaniambie sasa Oven nzuri ni ipi
Mimi sitaki😁😁Tuiombe Serikali yetu sikivu ya awamu ya 5 chini kiongozi shupavu Rais Dk Samia Hasssan aunde kikosi kazi Cha Kukusanya wote hao na kuwapeleka VETA.
Nimeona wadau wanasema KENWOOD ni nzuriMi mwenyewe sijui chochote ni kama wewe tu tena ni zaidi ya wewe
Sawa ijaribuNimeona wadau wanasema KENWOOD ni nzuri