Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Chuki ni kitu mbaya sana gentleman, na mbaya zaid kung'ang'ana nayo moyoni ni mzigo mzito utumwa wa kimaskini sana,Asanti❌
Kajifunze kwanza kuandika gentleman.
Uchawa umeharibu akili yako.
Peleka uchawa hukoo!!
na watu wa aina yako ndio maana mnatapeliwa kirahisi tu na hawa vibaka na matapeli wa kisiasa wa tone tone na no reform no elections, ambao kwa udi na uvumba wanatafuta pesa za pocket money, whisky na nyama, wakati nyie mnag'aa macho kwa chuki binafsi kwa wasema Ukweli,
Poleni sana aise 🐒
