Hawa ni JF Members maarufu wa ku-comment na ku-like ila wazito kuandika nyuzi.

Huyo Tlaatlaah mwondoe hapo.

Kila mara anaandika nyuzi zake za uchawa hapa.
Asanti sana kunikumbusha gentleman Infropreneur

nilikusahau kukushortleast kwenye Uzi wangu mahususi kuhusu JF members wenye chuki binafsi kupindukia jukwaani, ambao naumalizia nadhani ntauposti baadae saa1 jioni baada ya futuru.

Kazi na utu Tunsonge mbele pamoja 🐒
 
Unitag mkuu maana kuna watu Wana chili humu .aisee wanaume WA tz ni watu WA ajabu.unamchukiaje mtu humjui?
 
Asanti❌

Kajifunze kwanza kuandika gentleman.

Uchawa umeharibu akili yako.
sana kunikumbusha gentleman Infropreneur

nilikusahau kukushortleast kwenye Uzi wangu mahususi kuhusu JF members wenye chuki binafsi kupindukia jukwaani, ambao naumalizia nadhani ntauposti baadae saa1 jioni baada ya futuru.

Kazi na utu Tunsonge mbele pamoja 🐒
Peleka uchawa hukoo!!
 
Back
Top Bottom