Anastasia21
JF-Expert Member
- Jul 27, 2023
- 2,310
- 5,669
Kwakweli ππΎMimi pia nimesahaulika lakini sitasema π
Huyu mama anatusahau watu muhimu tutamnyima mitano mingineππMimi pia nimesahaulika lakini sitasema π
Mbona sijakuona sasa kule mkuuππAliyeufyatua uzi wa masuala ya oven ni nani
Binti Sayuni03 zingatia alichosema torvic πΉπΉππΎ kanichekesha mmMamaSamia2025 Ni mbaba huyo tena ana kitambii kabisa
ππππyeye kamuona wapi na uongo wakeBinti Sayuni03 zingatia alichosema torvic πΉπΉππΎ kanichekesha mm
Apo sasa πΉπππππyeye kamuona wapi na uongo wake
Nilikuwa namtania kanisahau kwenye list kaniadd kumbeBinti sayuni huyu huyu anayetupa burudani na nyuzi zake za wababa na maex wake au kuna mwingine? πΉπΉπΉ
Nilikuwepo nipo na nitaendelea kuwepoMbona sijakuona sasa kule mkuuππ
HeheheBinti sayuni huyu huyu anayetupa burudani na nyuzi zake za wababa na maex wake au kuna mwingine? πΉπΉπΉ
Mnanivunja mbavu ππππApo sasa πΉπ
Aya kaniambie sasa Oven nzuri ni ipiNilikuwepo nipo na nitaendelea kuwepo
Mi mwenyewe sijui chochote ni kama wewe tu tena ni zaidi ya weweAya kaniambie sasa Oven nzuri ni ipi
Mimi sitakiππTuiombe Serikali yetu sikivu ya awamu ya 5 chini kiongozi shupavu Rais Dk Samia Hasssan aunde kikosi kazi Cha Kukusanya wote hao na kuwapeleka VETA.
Nimeona wadau wanasema KENWOOD ni nzuriMi mwenyewe sijui chochote ni kama wewe tu tena ni zaidi ya wewe
Sawa ijaribuNimeona wadau wanasema KENWOOD ni nzuri