Chuki ni kitu mbaya sana gentleman, na mbaya zaid kung'ang'ana nayo moyoni ni mzigo mzito utumwa wa kimaskini sana,Asanti❌
Kajifunze kwanza kuandika gentleman.
Uchawa umeharibu akili yako.
Peleka uchawa hukoo!!
Chuki ni kitu mbaya sana gentleman, na mbaya zaid kung'ang'ana nayo moyoni ni mzigo mzito utumwa wa kimaskini sana,
na watu wa aina yako ndio maana mnatapeliwa kirahisi tu na hawa vibaka na matapeli wa kisiasa wa tone tone na no reform no elections, ambao kwa udi na uvumba wanatafuta pesa za pocket money, whisky na nyama, wakati nyie mnag'aa macho kwa chuki binafsi kwa wasema Ukweli,
Poleni sana aise 🐒
kazi, habari na utu, Tunsonge mbele pamoja gentleman 🐒
Chawa wa ccm apewe kura za ndio.kazi, habari na utu, Tunsonge mbele pamoja gentleman 🐒
vibaka na matapeli wa kisiasa Chadema wapunguze dhuluma kwa maskini na wanyonge wa kiuchumi,Chawa wa ccm apewe kura za ndio.
Wana uchoyo mpk wa kututaja...hahaaha
Umepotea sana comradeMzee wa hiphop ngoma ngumu
Ngoja tujitahidi sahv..
Ujumbe wako ntaufanyia kazi
Ova
Yaani usingeandikwa ilikua ni PM mleta uzi afanye editing chap ya jina lako khaaaaa.....😹😹 Mshakutana na mume wangu na sijui😹😹🙌🏾
acha ushirikina gentlemanHuyo Tlaatlaah ni Chawa wa Mama kuliko hata Lucas Mwashambwa kwa kuposti Uharo.
Hakuna kitu kinachafusha kama una andika uzi arafu mpumbavu mmoja anabonyeza kitufe kuufuta for no reason ndiyo maana hatutaki kuleta nyuzi humu tunabaki wachangiaji tu1. raraa reree
2. min -me
3. Smart911
4. Anastasia21
5. mrangi
6. Kiranga
7. Tlaatlaah
8. USSR
9. Extrovert
10. Magonjwa Mtambuka
11. Binti Sayuni03
12. leo dada
13. Cocastic
Nakupenda beib 😍Yaani usingeandikwa ilikua ni PM mleta uzi afanye editing chap ya jina lako khaaaaa.....
KULA CHUMA HIKO
Nakupenda sana sweetie ♡♡♡Nakupenda beib 😍
Mhh mbona mm sipo?1. raraa reree
2. min -me
3. Smart911
4. Anastasia21
5. mrangi
6. Kiranga
7. Tlaatlaah
8. USSR
9. Extrovert
10. Magonjwa Mtambuka
11. Binti Sayuni03
12. leo dada
13. Cocastic