Mwendazake alikuwa anaongoza nchi kwa hila na visasi sana. Angalia kama familia ya mzee malecela ambaye aliwahi kuwa waziri na makamu mwenyekiti wa ccm taifa, alianza kumfukuza mke wake kwenye ukuu wa mkoa lakini akaona haitoshi akafukuza bintiye kwenye ukurugenzi NIMR lakini bado haikutosha kila kwenye hotuba zake akawa ana mponda lengo lake hii familia aikomoe tu kwa sababu ya wivu fulani fulani
1. Dr. nyambura moremi
View attachment 1755243
Alikuwa ndiye mkurugenzi wa maabara ya taifa na fya ya jamii.
Alitumbuliwa kipindi janga la corona limepamba moto kwa kisingizio kwamba alipima sampuli ya ndege aina ya kware, mbuzi na mapapai vikakutwa na virusi vya corona.
Kimsingi, Dr Nyambura hakuwa na kosa bali alitimiza wajibu wake wa msingi kwa uweledi kulingana na taaluma yake kwa kuripoti majibu kadri ya kipimo kilivyoonyesha.
Itakumbukwa ni katika kipindi hicho hayati magufuli alitaka kuaminisha dunia kwamba nchi yetu haina ugonjwa korona kwahiyo hakuwa tayari kusikia taarifa yoyote juu ya uwepo wa ugonjwa huo. Hata hivyo baadae iligundulika vipimo vilivyotumika kupima sampuli vilikuwa na kasoro, hivyo Dr Nyambura alitumbuliwa kimakosa.
2. Dr Mwele Ntuli malecela
View attachment 1755245
Alikuwa ni mkurugenzi mkuu wa taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu(NIMR).
Kipindi kumeibuka na ugonjwa usiojulikana uliohusishwa na ugonjwa wa homa ya dengue jijini Dar es Salaam, Dr mwele chini ya taasisi aliyoiongoza(NIMR) walifanya utafiti wakagundua ni ugonjwa wa zika ndipo akatangazia umma ili watu wachukue tahadhari ya kujikinga na kujilinda dhidi ya ugonjwa huo. Lakini kitendo hicho kilionekana kuwa chukizo kwa hayati magufuli akaamua kumfukuza kazi huku akimtuhumu kwamba anatumiwa na mataifa ya nje (mabeberu kama alivyopendelea kuwaita) bila ushahidi wowote wa kuthibitisha kauli yake hiyo.
Hata hivyo inasadikika kuwa kutumbuliwa kwa Dr mwele ulikuwa ni mwendelezo wa chuki binafsi ya hayati magufuli na familia ya malecela kwani hapo kabla aliwahi kumfuta kazi ya ukuu wa mkoa mama yake mwele( anne kilango malecela) kipindi cha sakata la watumishi hewa.
3. Dr Ave maria semakafu
View attachment 1755246
Alikuwa naibu katibu mkuu wa wizara ya elimu, sayansi na teknolojia.
Alitumbuliwa kwa kosa la kutaka kuboresha elimu ambapo awali alitangaza kufuta mafunzo na ualimu wa cheti jambo ambalo hayati magufuli aliita ni uamuzi wa kipumbavu na baadaye akamfuta kazi.
Hata hivyo, Dr semakafu alitumbuliwa kimakosa kutokana na sababu za kisiasa kwani kwa wakati huo kampeni zilikuwa zimepamba moto hivyo hayati magufuli alifikia uamuzi wa kumfukuza Dr semakafu kama njia ya kujitafutia kura kwa wananchi ila suala la kuboresha elimu ni miongoni mwa sera zilizoko kwenye ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi(CCM) 2020-2025 ambayo hayati mwenyewe alizunguka kuinadi nchi nzima.
Kwani si wa mumewe au?Hivi huyo mke wa balozi huyo kid anaishi nae na mumewe?
Hii kali mkuuDikteta alikuwa akitongoza mtu akimkataa lazima amfukuze
"NIKIWA RAIS MTALIMIA MENO"1. Dr. Nyambura Moremi
View attachment 1755243
Alikuwa ndiye mkurugenzi wa maabara ya taifa na fya ya jamii.
Alitumbuliwa kipindi janga la corona limepamba moto kwa kisingizio kwamba alipima sampuli ya ndege aina ya kware, mbuzi na mapapai vikakutwa na virusi vya corona.
Kimsingi, Dr Nyambura hakuwa na kosa bali alitimiza wajibu wake wa msingi kwa uweledi kulingana na taaluma yake kwa kuripoti majibu kadri ya kipimo kilivyoonyesha.
Itakumbukwa ni katika kipindi hicho hayati magufuli alitaka kuaminisha dunia kwamba nchi yetu haina ugonjwa korona kwahiyo hakuwa tayari kusikia taarifa yoyote juu ya uwepo wa ugonjwa huo. Hata hivyo baadae iligundulika vipimo vilivyotumika kupima sampuli vilikuwa na kasoro, hivyo Dr Nyambura alitumbuliwa kimakosa.
2. Dr Mwele Ntuli Malecela
View attachment 1755245
Alikuwa ni mkurugenzi mkuu wa taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu(NIMR).
Kipindi kumeibuka na ugonjwa usiojulikana uliohusishwa na ugonjwa wa homa ya dengue jijini Dar es Salaam, Dr mwele chini ya taasisi aliyoiongoza(NIMR) walifanya utafiti wakagundua ni ugonjwa wa zika ndipo akatangazia umma ili watu wachukue tahadhari ya kujikinga na kujilinda dhidi ya ugonjwa huo. Lakini kitendo hicho kilionekana kuwa chukizo kwa hayati magufuli akaamua kumfukuza kazi huku akimtuhumu kwamba anatumiwa na mataifa ya nje (mabeberu kama alivyopendelea kuwaita) bila ushahidi wowote wa kuthibitisha kauli yake hiyo.
Hata hivyo inasadikika kuwa kutumbuliwa kwa Dr mwele ulikuwa ni mwendelezo wa chuki binafsi ya hayati magufuli na familia ya malecela kwani hapo kabla aliwahi kumfuta kazi ya ukuu wa mkoa mama yake mwele( anne kilango malecela) kipindi cha sakata la watumishi hewa.
3. Dr Ave Maria Semakafu
View attachment 1755246
Alikuwa naibu katibu mkuu wa wizara ya elimu, sayansi na teknolojia.
Alitumbuliwa kwa kosa la kutaka kuboresha elimu ambapo awali alitangaza kufuta mafunzo na ualimu wa cheti jambo ambalo hayati magufuli aliita ni uamuzi wa kipumbavu na baadaye akamfuta kazi.
Hata hivyo, Dr Semakafu alitumbuliwa kimakosa kutokana na sababu za kisiasa kwani kwa wakati huo kampeni zilikuwa zimepamba moto hivyo hayati magufuli alifikia uamuzi wa kumfukuza Dr Semakafu kama njia ya kujitafutia kura kwa wananchi ila suala la kuboresha elimu ni miongoni mwa sera zilizoko kwenye ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi(CCM) 2020-2025 ambayo hayati mwenyewe alizunguka kuinadi nchi nzima.
Mbona juzi niliona yupo India au ndio balozi wetu huko New Delhi?Na Le Mutuz kamnyima uteuzi.
Mwendazake noma sana
Huyu Jamaa ana kipaji Cha politics,Mama afanye Busara kumrudisha kwenye ramani,bado anahitajika.
Inaonekana alikuwa akichukia sana wanawake, na ikisemwa chinichini kuwa makamu wake zaidi ya mara moja alitaka kujiuzulu.
Pamoja na yote magufuli alikuwa na chuki sana na kisasi pia , bora aendelee kuliwa na funza huko aliko, aliumiza sana watanzania wasio na hatia huyu mbwa.Huu uchambuzi wako umechambua kwa kuongozwa na hisia za chuki dhidi ya Hayati JPM
Unaanzaje kusema kuwa ana chuki na familia ya Malecela ilhali baada ya kumtengua mke wa Malecela kutoka uRC baadae alimteua kuwa mbunge viti maalumu!?
Tena ubunge ndio post isiyo na stress na mshahara wake upo juu kuliko uRC
Pili, Dr Mwele alifanya kosa la kimamlaka ambalo lilipelekea yeye kuondolewa ktk hio nafasi yake. Kama alifanya uchunguzi na kubaini Zinca ipo nchini basi kimamlaka alitakiwa aliripoti hilo swala kwa mabosi zake Wizara ya Afya kisha Wizara ndio ingejua namna gani ya kuliwasilisha hilo mbele ya umma lakini badala yake yeye akakimbilia kwenda kuliripoti kwenye media,,,, akasahau kuwa yeye nae ana mabosi wake
Ni kama vile mkurugenzi usalama wa Taifa akigundua kuna hatari ya ugaidi nchini mwetu basi hakimbilii mbele ya media kuutangazia umma bali hupeleka taarifa kwa mabosi wake kwanza
Kwahyo utenguzi wake huyu DG NIMR ulikuwa sahihi kabisa
Umemsahau CEO mahiri na Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru. Yaani kitendo chake kusema si vibaya taasisi za umma kuweka pesa ya muda maalum bank maana inawawapa faida kesho yake alifutwa kazi. Yaani boss wake alitaka taasisi zote zinazozalisha ziweke pesa BOT. Yaani kiuchumi pesa inasimama1. Dr. Nyambura Moremi
View attachment 1755243
Alikuwa ndiye mkurugenzi wa maabara ya taifa na fya ya jamii.
Alitumbuliwa kipindi janga la corona limepamba moto kwa kisingizio kwamba alipima sampuli ya ndege aina ya kware, mbuzi na mapapai vikakutwa na virusi vya corona.
Kimsingi, Dr Nyambura hakuwa na kosa bali alitimiza wajibu wake wa msingi kwa uweledi kulingana na taaluma yake kwa kuripoti majibu kadri ya kipimo kilivyoonyesha.
Itakumbukwa ni katika kipindi hicho hayati magufuli alitaka kuaminisha dunia kwamba nchi yetu haina ugonjwa korona kwahiyo hakuwa tayari kusikia taarifa yoyote juu ya uwepo wa ugonjwa huo. Hata hivyo baadae iligundulika vipimo vilivyotumika kupima sampuli vilikuwa na kasoro, hivyo Dr Nyambura alitumbuliwa kimakosa.
2. Dr Mwele Ntuli Malecela
View attachment 1755245
Alikuwa ni mkurugenzi mkuu wa taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu(NIMR).
Kipindi kumeibuka na ugonjwa usiojulikana uliohusishwa na ugonjwa wa homa ya dengue jijini Dar es Salaam, Dr mwele chini ya taasisi aliyoiongoza(NIMR) walifanya utafiti wakagundua ni ugonjwa wa zika ndipo akatangazia umma ili watu wachukue tahadhari ya kujikinga na kujilinda dhidi ya ugonjwa huo. Lakini kitendo hicho kilionekana kuwa chukizo kwa hayati magufuli akaamua kumfukuza kazi huku akimtuhumu kwamba anatumiwa na mataifa ya nje (mabeberu kama alivyopendelea kuwaita) bila ushahidi wowote wa kuthibitisha kauli yake hiyo.
Hata hivyo inasadikika kuwa kutumbuliwa kwa Dr mwele ulikuwa ni mwendelezo wa chuki binafsi ya hayati magufuli na familia ya malecela kwani hapo kabla aliwahi kumfuta kazi ya ukuu wa mkoa mama yake mwele( anne kilango malecela) kipindi cha sakata la watumishi hewa.
3. Dr Ave Maria Semakafu
View attachment 1755246
Alikuwa naibu katibu mkuu wa wizara ya elimu, sayansi na teknolojia.
Alitumbuliwa kwa kosa la kutaka kuboresha elimu ambapo awali alitangaza kufuta mafunzo na ualimu wa cheti jambo ambalo hayati magufuli aliita ni uamuzi wa kipumbavu na baadaye akamfuta kazi.
Hata hivyo, Dr Semakafu alitumbuliwa kimakosa kutokana na sababu za kisiasa kwani kwa wakati huo kampeni zilikuwa zimepamba moto hivyo hayati magufuli alifikia uamuzi wa kumfukuza Dr Semakafu kama njia ya kujitafutia kura kwa wananchi ila suala la kuboresha elimu ni miongoni mwa sera zilizoko kwenye ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi(CCM) 2020-2025 ambayo hayati mwenyewe alizunguka kuinadi nchi nzima.
Umemsahau CEO mahiri na Msajili wa Hazina Lawrence Mafuru. Yaani kitendo chake kusema si vibaya taasisi za umma kuweka pesa ya muda maalum bank maana inawawapa faida kesho yake alifutwa kazi. Yaani boss wake alitaka taasisi zote zinazozalisha ziweke pesa BOT. Yaani kiuchumi pesa inasimama1. Dr. Nyambura Moremi
View attachment 1755243
Alikuwa ndiye mkurugenzi wa maabara ya taifa na fya ya jamii.
Alitumbuliwa kipindi janga la corona limepamba moto kwa kisingizio kwamba alipima sampuli ya ndege aina ya kware, mbuzi na mapapai vikakutwa na virusi vya corona.
Kimsingi, Dr Nyambura hakuwa na kosa bali alitimiza wajibu wake wa msingi kwa uweledi kulingana na taaluma yake kwa kuripoti majibu kadri ya kipimo kilivyoonyesha.
Itakumbukwa ni katika kipindi hicho hayati magufuli alitaka kuaminisha dunia kwamba nchi yetu haina ugonjwa korona kwahiyo hakuwa tayari kusikia taarifa yoyote juu ya uwepo wa ugonjwa huo. Hata hivyo baadae iligundulika vipimo vilivyotumika kupima sampuli vilikuwa na kasoro, hivyo Dr Nyambura alitumbuliwa kimakosa.
2. Dr Mwele Ntuli Malecela
View attachment 1755245
Alikuwa ni mkurugenzi mkuu wa taasisi ya utafiti wa magonjwa ya binadamu(NIMR).
Kipindi kumeibuka na ugonjwa usiojulikana uliohusishwa na ugonjwa wa homa ya dengue jijini Dar es Salaam, Dr mwele chini ya taasisi aliyoiongoza(NIMR) walifanya utafiti wakagundua ni ugonjwa wa zika ndipo akatangazia umma ili watu wachukue tahadhari ya kujikinga na kujilinda dhidi ya ugonjwa huo. Lakini kitendo hicho kilionekana kuwa chukizo kwa hayati magufuli akaamua kumfukuza kazi huku akimtuhumu kwamba anatumiwa na mataifa ya nje (mabeberu kama alivyopendelea kuwaita) bila ushahidi wowote wa kuthibitisha kauli yake hiyo.
Hata hivyo inasadikika kuwa kutumbuliwa kwa Dr mwele ulikuwa ni mwendelezo wa chuki binafsi ya hayati magufuli na familia ya malecela kwani hapo kabla aliwahi kumfuta kazi ya ukuu wa mkoa mama yake mwele( anne kilango malecela) kipindi cha sakata la watumishi hewa.
3. Dr Ave Maria Semakafu
View attachment 1755246
Alikuwa naibu katibu mkuu wa wizara ya elimu, sayansi na teknolojia.
Alitumbuliwa kwa kosa la kutaka kuboresha elimu ambapo awali alitangaza kufuta mafunzo na ualimu wa cheti jambo ambalo hayati magufuli aliita ni uamuzi wa kipumbavu na baadaye akamfuta kazi.
Hata hivyo, Dr Semakafu alitumbuliwa kimakosa kutokana na sababu za kisiasa kwani kwa wakati huo kampeni zilikuwa zimepamba moto hivyo hayati magufuli alifikia uamuzi wa kumfukuza Dr Semakafu kama njia ya kujitafutia kura kwa wananchi ila suala la kuboresha elimu ni miongoni mwa sera zilizoko kwenye ilani ya uchaguzi ya chama cha mapinduzi(CCM) 2020-2025 ambayo hayati mwenyewe alizunguka kuinadi nchi nzima.
umemsahau dr. suzan kolimba.1. Dr. Nyambura Moremi

Ilikuwa siyo Ebola. Ni ugonjwa wa Usonji.Kiiglish chake sijui. Ila walipata watoto kadhaa.Si kweli. Wewe ndiyo u a chukina Watanzania baada ya tubdulissu wako kukosa kurasasa kabuki na wadaiwa sugu kana sugu na wewe.
Mkurugenzi hajiamini, labda ndiyo hizi kazi za kupeana. Kware na mananasi na papai yalipimwa yakaonekana positive. Mkurugenzi mwadilifu angejieleza, au angepata statement hutoja Taasisi ya Mifugo Ukiriguru ielezw iweje kware apate covid. Vipimo hivyo hivyo vilikataliwa Italy na Ujerumani utasema hawampendi tundulissu?
Mwele ni mpumbavu. Tangu atangaze ugonjwa wa ebola, tangu afukuzwe, hajapatikana mgonjwa hata mmoja- yaani tulikuwa na mgonjwa mmoja tu wa nwele. Mwele alitumiwa na mabeberu kutetea utalii wa Kenya kwamba Serengeti kuna ebola. Hakuwa na madaraka hayo na sheria iko wazi. Hawa tukiwaacha mabeberu watangaze wanachotaka hatutabaki salama. Pale pale wakampa cheo wakamalizia rushwa waliyomwaahidi. Malecela ni shujaa wa nchi hii wala usimwingize kwenye uozo huu.
Semakafu aliteleza labda angeomba msahama. Anajua regulations yeye ndiye msimamizi wake, iweje asahau kwamba sera ilishapita? Yes, kulikuwa na uchaguzi na walimu ni taasisi nyeti, kwa nini usiwajibike kwa kupotosha?
Alishawahi kikutongoza!!?Dikteta alikuwa akitongoza mtu akimkataa lazima amfukuze
Waziri wa afya alikuwepo siku ile Mwele anatangaza, alihudhuria kwa nafasi ipi?Huu uchambuzi wako umechambua kwa kuongozwa na hisia za chuki dhidi ya Hayati JPM
Unaanzaje kusema kuwa ana chuki na familia ya Malecela ilhali baada ya kumtengua mke wa Malecela kutoka uRC baadae alimteua kuwa mbunge viti maalumu!?
Tena ubunge ndio post isiyo na stress na mshahara wake upo juu kuliko uRC
Pili, Dr Mwele alifanya kosa la kimamlaka ambalo lilipelekea yeye kuondolewa ktk hio nafasi yake. Kama alifanya uchunguzi na kubaini Zinca ipo nchini basi kimamlaka alitakiwa aliripoti hilo swala kwa mabosi zake Wizara ya Afya kisha Wizara ndio ingejua namna gani ya kuliwasilisha hilo mbele ya umma lakini badala yake yeye akakimbilia kwenda kuliripoti kwenye media,,,, akasahau kuwa yeye nae ana mabosi wake
Ni kama vile mkurugenzi usalama wa Taifa akigundua kuna hatari ya ugaidi nchini mwetu basi hakimbilii mbele ya media kuutangazia umma bali hupeleka taarifa kwa mabosi wake kwanza
Kwahyo utenguzi wake huyu DG NIMR ulikuwa sahihi kabisa
Halafu ukizingatia kwamba alikuwa Naibu Katibu Mkuu alikuwa anatekeleza maamuzi ya Wizara. Yeye hakuwa na maamuzi yake mwenyewe.Kwa kosa gani wakati ule ulikuwa ni uamuzi wa wizara . Mawaziri na katibu mkuu mbona hawakuhusika ?!. Au anayekamatwa na ngozi ndiyo mwizi ?!
HUYU NI MMOJA WA WANAFIKI MAMA ANATAKIWA AKAE NAE MBALI SANA!!!