Hawa ni Viongozi waliotumbuliwa na hayati Magufuli kimakosa kwa sababu za kisiasa au chuki binafsi

Hapo sasa na ww umechemka Kama papai limetoa juice au takataka utasema kwa watu mashine imetoa unga ulitakiwa useme jamani imetoa kitu cha ajabu hapo watu watakuelewa eti ukisema mashine imetoa juice chafu watu watakuona nanga
 
ACHA UNAFIKI NA HUYO MAMA WA ELIMU MZEE HIVYO NAYE ALIMTONGOZA? KUWA NA HESHIMA NA ADABU PUMBAFU WEWEE
Kitendo cha kumtolea mfano huyo mama peke yake ni kiashiria kwamba hao wengine na wewe una wasi wasi kwamba pengine aliwatongoza wakamtosa
 
Kosa la Mwele lilikuwa dhahiri- akiwa Katekista akasoma injili wakati Padri yupo
🤣 🤣 🤣 kabisa. Padri akakasirika, akapita na nafasi yake Katekista. Ikawa jioni, ikawa asubuhi. Mwele akajikuta anasomekea Benin kwenye shavu jipya. Akamwacha Padri akiendelea kuongea kwa povu ambalo si la nchi hii. Jiwe walilolikataa waashi, limekuwa jiwe kuu la pembeni.
 
Mkuu kuwa katekista sehemu fulani inaweza kuwa bora zaidi kuliko kuwa mchungaji sehemu nyingine. Usilinganishe kuna vingine havilinganishwi
 
So sad. I hope Amina ni mzima. Kisa alionesha pia mapenzi kwa Lowassa. Na team Lowasa walimpigiakura na ni wengi. Usiniulize ni nani alishinda kihalali na kilichotokea😣😣😣😣😣
 
Acha uongo ilikuwa ni Zica...punguzeni uongo wana Jf
Kukosea siyo uongo. Just present it politely. Muhimu ni kinyongo kilitumika. Yako wapi sasa? Mungu ni fundi kuzidi mafundi wote duniani.
 
Walitueliwa na nani?
 
Kipindi Cha jiwe.kilakitu kiliwezekana.kasoro kufufua wafu ndio ilikuwa ngumu.
 
Kipindi Cha jiwe.kilakitu kiliwezekana.kasoro kufufua wafu ndio ilikuwa ngumu.
Hivi Gwajiboy mfufua wafu hakuweza?

Nireteeni Gwajima, nireteeni Gwaaajima naomba nireeeeteeeeni Gwaaaajima mfufua wafu🤣🤣🤣🤣
 
Kwa hiyo unataka kusema nini sasa???
 
Sahihisho. Alipotoka DSM alikwenda Congo Brazaville ambayo ni Ofisi ya WHO Afro kwa mwaka mmoja. Kuanzia 2018 alipanda cheo na kuwa Mkurugenzi wa NTD (Neglected Tropical Disease) katika WHO huko Geneva Switzerland hadi leo. Kwa hiyo anaratibu shughuli za dunia nzima za namna ya kutokomeza magonjwa kama matende, mabusha, vikope nk ambayo Tanzania ni kati ya nchi zinazosumbuliwa sana na magonjwa haya.
 
Najaribu kuwaza wale waliokuwa wanamkubalia anawagongea wapi na Yale maulinzi aliyokuwa nayo,.

Pia hakuwa na Yale maujanja ya watoto Wa mjini kama Uhuru kenyata na kikwete.
Mkuu, alikuwa anawagongea kwenye zile ziara zake za mikoani huko. Mwendazake alikuwa na maarifa mengi sana katika kutimiza UHALIFU wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…