Shing Yui
JF-Expert Member
- Aug 8, 2015
- 15,168
- 38,049
Basi sawaKwani ni kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawaKwani ni kweli?
😂😂😂😂😂😂😂umenishinda tabiaNasubiri watoto watoke shule ili wale ndio mikaoshe vyombo. Kwasasa niko hapa kwa jirani napunguza stress, tunamjadili marehemu aloacha watoto 8 na mimba 4 na bado wawili walifariki na kila mtoto na mama yake. Halafu ana miaka 26 tu.
Umama wa nyumbani raha sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
ntumie nauli 😌😌Babe leo uje.
Mama wa nyumbani tunaishi umri mrefu sana, hatuna stress. Umbea unapunguza stress.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]umenishinda tabia
na mi nimetamani😂😂Mama wa nyumbani tunaishi umri mrefu sana, hatuna stress. Umbea unapunguza stress.
Sent using Jamii Forums mobile app
Request ubber ukifika namlipa.ntumie nauli 😌😌
Hamna kazi ngumu kama umama wa nyumban...uzunguni mshahara asilimia kamaa 30 zinaenda kwa mama wa nyumbanNasubiri watoto watoke shule ili wale ndio mikaoshe vyombo. Kwasasa niko hapa kwa jirani napunguza stress, tunamjadili marehemu aloacha watoto 8 na mimba 4 na bado wawili walifariki na kila mtoto na mama yake. Halafu ana miaka 26 tu.
Umama wa nyumbani raha sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent using Jamii Forums mobile app
bebe bando sasa 😌😌Request ubber ukifika namlipa.
Acha tu, halafu watoto wenyewe ndio wawe dizain yako haki lazima upone kichaa.Hamna kazi ngumu kama umama wa nyumban...uzunguni mshahara asilimia kamaa 30 zinaenda kwa mama wa nyumban
Na mie naomba tuition[emoji848]Ewaaaaaaaaaaahhhhh!
Kama wewe nilipambana sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Wewe mbona sijaona tatizo kwenye lugha yako?Na mie naomba tuition[emoji848]
Kiswahili hakunaWewe mbona sijaona tatizo kwenye lugha yako?
Uje kunifanyia usafi hapo home bc[emoji4]Nimechekaa hadi baas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], lol mie house maid tobaaaaah, nahisi wenye nyumba wamenishanichoka wanataka kunirudisha kwetu huko Liganga. Mweeeeeeeh
Usijariiiih nakuja sasa hivi uwiiiiiiiiihUje kunifanyia usafi hapo home bc[emoji4]