Hawa ni wanaJF na kazi zao

Hawa ni wanaJF na kazi zao

Nasubiri watoto watoke shule ili wale ndio mikaoshe vyombo. Kwasasa niko hapa kwa jirani napunguza stress, tunamjadili marehemu aloacha watoto 8 na mimba 4 na bado wawili walifariki na kila mtoto na mama yake. Halafu ana miaka 26 tu.

Umama wa nyumbani raha sana[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂😂😂😂umenishinda tabia
 
Hamna kazi ngumu kama umama wa nyumban...uzunguni mshahara asilimia kamaa 30 zinaenda kwa mama wa nyumban
 
Nimechekaa hadi baas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], lol mie house maid tobaaaaah, nahisi wenye nyumba wamenishanichoka wanataka kunirudisha kwetu huko Liganga. Mweeeeeeeh
 
Uje kunifanyia usafi hapo home bc[emoji4]
 
Back
Top Bottom