Hawa ni wanaJF na kazi zao

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚umenishinda tabia
 
Hamna kazi ngumu kama umama wa nyumban...uzunguni mshahara asilimia kamaa 30 zinaenda kwa mama wa nyumban
 
Nimechekaa hadi baas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], lol mie house maid tobaaaaah, nahisi wenye nyumba wamenishanichoka wanataka kunirudisha kwetu huko Liganga. Mweeeeeeeh
 
Nimechekaa hadi baas, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], lol mie house maid tobaaaaah, nahisi wenye nyumba wamenishanichoka wanataka kunirudisha kwetu huko Liganga. Mweeeeeeeh
Uje kunifanyia usafi hapo home bc[emoji4]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…