Amehlo
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 10,104
- 29,178
naja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naja
Sasa hivi niko wizara ya Fedha...Hapa nina orodha ya baadhi ya wanaJF na kazi ambazo zinawafiti...
Asprin - mstaafu TRA
Chief - mkwawa (IT)
FaizaFoxy - mstaafu hapo Lumumba.
Kiduku Lilo -
Lucas Mobutu
troublemaker
GENTAMYCINE
GuDume
Chizi Maarifa
(Hawa ni matapeli wa warembo wanakula sana bia)
cocastic - beki 3
Jael - mama wa nyumbani
Khantwe - manager hotelini
Daudi Mchambuzi - polisi.
Don Clericuzio - mchambuzi wa soka.
yuzazifu - yupo kwao anakaa.
Zero IQ - mjasiriamali.
juma mpemba - jambazii.
Extrovert - sound engineering mlevi.
Mshana Jr - huyu anajulikana..
amu - ana duka la nguo
Mama Debora - haaminiki tapeli tapeli ..
Saint Anne - nesi ( japo ni mbishi sana)
Behaviourist - anakaa kwa mjomba wake ,mpenda chura.
GODZILLA - mwanasheria ,ana mikwara mingi.
Kiranga - doctor ,mbishi
miss chagga - ukiwa na hela tu akicheka huna
Saint Ivuga - muongo muongo
Hannah kazi yake ni kunipenda ,wife material
Msinifokeee
Utastaafu lini we mzeeSasa hivi niko wizara ya Fedha...
Mademu watakukoma babuSasa hivi niko wizara ya Fedha...
HehehJoanah - bado hajapata kazi.
Da'Vinci - ana ndoto za kuwa msanii.
Scars - yupo sasa anaskiliza nyimbo za Niki mbishi.
shushushu VIP - muhudumu bar.
The Boss - mtendaji wa kata
Joblessmkuu kwa hiyo kukaa home ndo kazi yangu au tittle ya uzi sijaielewa?
umenishusha viwango sana bora ungeniweka hata MD yaani mpiga debe.Jobless
HahahahaHeheh
Scars anaskiza nyimbo ya mbishi wakati wenzake wanapiga mchele kimya kimya bila kwere....wana magari tele na majumba kama mbele
[emoji1547]Hahahaha
Kwani hujaskia kua saizi hakuna cha dezo, serikali imetia msumari kwa wasanii kila nyenzo.../
Hali ngumu kwa wasanii mifuko imedolola, serikali haijali huko youtube kila video inatozwa dollar.../
Kidogo walicho nacho hakikidhi na bado mamlaka inawapola, huyu shetani hakimbiliki ebu tumuachie mola.../
Skia muanzisha uzi pancho boyHahahaha
Kwani hujaskia kua saizi hakuna cha dezo, serikali imetia msumari kwa wasanii kila nyenzo.../
Hali ngumu kwa wasanii mifuko imedolola, serikali haijali huko youtube kila video inatozwa dollar.../
Kidogo walicho nacho hakikidhi na bado mamlaka inawapola, huyu shetani hakimbiliki ebu tumuachie mola.../
Aseeh kumbe Niki mbishi upo huku mzee?Skia muanzisha uzi pancho boy
"Mwenye akili soma kiundani, mi nakupa dibaji...usishangae kuona kipato na hakilingani na mahitaji, vijana ndo nguvu kazi inayopotea kwa ubishoo...mihadarati na maradhi faradhi kwa majogoo
Sijisifu, ila kiukweli nipo tofauti na wengine waharibifu....ma broiler hawatafuti, zaidi ya uchaguzi na uchafuzi wa mazingira mjasiriamali jitume usingoje kupewa ajira"
ha ha haNgoja December ifike ule mpango wa member kukutana mikoa ya Dar, Arusha, Mwanza na Mbeya
Utachezea makofi