Hawa ni Watanzania maarufu wanaoongea Kiingereza kilichonyooka

Wewe kiingereza chako ni kama cha waandishi wa Tanzania.
 
1. Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan

2. Jokate Mwegelo

3. Mimi

4. Freeman Mbowe

5. Mwigulu Nchemba

6. Tundu Lissu

7. Vanessa Mdee

8. Nikki wa II

9. Hamissa Mobetto

10. Adam Mchomvu
Uzi tayari.
 
1. Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan

2. Jokate Mwegelo

3. Mimi

4. Freeman Mbowe

5. Mwigulu Nchemba

6. Tundu Lissu

7. Vanessa Mdee

8. Nikki wa II

9. Hamissa Mobetto

10. Adam Mchomvu
Adam Mchomvu huyu huyu ninayemfahamu mimi au adam mwingine
 
Siku za hivi karibuni umekuwa ukijibu hoja za watu kwa mistari isiyozidi mitatu, shida nini Bw.Mshamba? Au umeanza kuchoka kuandaa magazeti πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
najitahidi kuandika comments zilizo rahisi kueleweka
 
Kwenye list ambayo inaongozwa na Samia usiniweke
😹😹😹 ila bro unanifurahishaga sana, nikiingia nisiposoma comments zako bado sihisi km nipo JF 🀣
 
😹😹😹 ila bro unanifurahishaga sana, nikiingia nisiposoma comments zako bado sihisi km nipo JF 🀣
Nakuona nakuona,

Nafurahi kukufurahisha.

Uzuri imetokea tu hata sijalenga kufurahisha mtu nimelenga kusema ukweli ninavyoujua mimi tu hivyo kama unakufurahisha basi wewe mtu wangu naturally na effortlessly.

One love.
 
1. Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan

2. Jokate Mwegelo

3. Mimi

4. Freeman Mbowe

5. Mwigulu Nchemba

6. Tundu Lissu

7. Vanessa Mdee

8. Nikki wa II

9. Hamissa Mobetto

10. Adam Mchomvu
Matako kweli unajua kiingereza kilichonyoka wewe
 
Nakuona nakuona,

Nafurahi kukufurahisha.

Uzuri imetokea tu hata sijalenga kufurahisha mtu nimelenga kusema ukweli ninavyoujua mimi tu hivyo kama unakufurahisha basi wewe mtu wangu naturally na effortlessly.

One love.
Kuna namna unamwaga fact huku inaingia kwenye kuchekesha basi mi burudaniii..!! 🀣

Mi shabiki yako kufa bro 😍
Ulipo nipo 🫑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…