Hawa ni Watanzania maarufu wanaoongea Kiingereza kilichonyooka

Hawa ni Watanzania maarufu wanaoongea Kiingereza kilichonyooka

1. Mimi
2. Mariam professional wa Events Management alikuwa TTB sasa hivi yuko Wizarani MNRT
3. Balozi Dr. Asha Rose Migiro
4. Gilly Terry wa TIC
5. Faraja Kota
6. Nancy Summary
7. Sylvia Bahame
8. Wema Sepetu
9. Gwamaka Host wa Chuo cha Uongozi mtoto wa Mwenyekiti wa Yanga SC hapo zamani
10. Mhe. Amina Amina Salum Ally Znz
11. Waziri wa Fedha enzi za Kikwete Mdada
12. Vipanga wenzangu wote enzi zetu tuliitwa Wakali wa Morning Speech mbele ya umati Assembly Ground

Ukibisha chukua coca cola ntalipa
Wewe kiingereza chako ni kama cha waandishi wa Tanzania.
 
1. Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan

2. Jokate Mwegelo

3. Mimi

4. Freeman Mbowe

5. Mwigulu Nchemba

6. Tundu Lissu

7. Vanessa Mdee

8. Nikki wa II

9. Hamissa Mobetto

10. Adam Mchomvu
Uzi tayari.
 
1. Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan

2. Jokate Mwegelo

3. Mimi

4. Freeman Mbowe

5. Mwigulu Nchemba

6. Tundu Lissu

7. Vanessa Mdee

8. Nikki wa II

9. Hamissa Mobetto

10. Adam Mchomvu
Adam Mchomvu huyu huyu ninayemfahamu mimi au adam mwingine
 
Siku za hivi karibuni umekuwa ukijibu hoja za watu kwa mistari isiyozidi mitatu, shida nini Bw.Mshamba? Au umeanza kuchoka kuandaa magazeti 😂😂😂😂
najitahidi kuandika comments zilizo rahisi kueleweka
 
😹😹😹 ila bro unanifurahishaga sana, nikiingia nisiposoma comments zako bado sihisi km nipo JF 🤣
Nakuona nakuona,

Nafurahi kukufurahisha.

Uzuri imetokea tu hata sijalenga kufurahisha mtu nimelenga kusema ukweli ninavyoujua mimi tu hivyo kama unakufurahisha basi wewe mtu wangu naturally na effortlessly.

One love.
 
1. Mheshimiwa Rais Dr. Samia Suluhu Hassan

2. Jokate Mwegelo

3. Mimi

4. Freeman Mbowe

5. Mwigulu Nchemba

6. Tundu Lissu

7. Vanessa Mdee

8. Nikki wa II

9. Hamissa Mobetto

10. Adam Mchomvu
Matako kweli unajua kiingereza kilichonyoka wewe
 
Nakuona nakuona,

Nafurahi kukufurahisha.

Uzuri imetokea tu hata sijalenga kufurahisha mtu nimelenga kusema ukweli ninavyoujua mimi tu hivyo kama unakufurahisha basi wewe mtu wangu naturally na effortlessly.

One love.
Kuna namna unamwaga fact huku inaingia kwenye kuchekesha basi mi burudaniii..!! 🤣

Mi shabiki yako kufa bro 😍
Ulipo nipo 🫡
 
Back
Top Bottom