Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
SawaSoma vizuri mkuu. Mohammed Ali nimemzungumzia kwa upande wake wa ngumi (boxer)
Bruce Lee nimemuweka kwenye kung fu au karate na..
Bob Marley amesimama kweny mziki wake mkuu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaSoma vizuri mkuu. Mohammed Ali nimemzungumzia kwa upande wake wa ngumi (boxer)
Bruce Lee nimemuweka kwenye kung fu au karate na..
Bob Marley amesimama kweny mziki wake mkuu.
Naongezea Diblo Dibala, Dally Kimoko, bila kumsahau Francoo wa Mario
Franco Luambo Makiadi huyu hakuwa na mpinzani kwa kweli. Hata hao kina Madilu, Papa Wemba, Pepe Kale, Diblo na wengineo walijifunza mengi kupitia mziki wake.Naongezea Diblo Dibala, Dally Kimoko, bila kumsahau Francoo wa Mario
Salute mkuu, kwa Marijani Shaaban(rip)nipo nawe 100%,Kumbuka ule wimbo wa mwanameka ulitokea kwenye swahili paper, yeah nchi hii kuna mtu alituelekeza siko, nchi haina mziki wake wa kuipambanua labda singeli!,hawa akina almasi, tembo etc etc wanakesi ya kujibu, wamevuruga mila na utamaduni wetu,kenge kabisa hawaKwa upande wa nyumban kimziki hakuna na wala hatokuwepo mwanamziki mwenye uwezo wa kuimba na kutunga nyimbo zenye visa mbali mbali vya kweli na vile vya kufunza jamii kama Marijani mwana wa Rajabu.
Huyu waliomwita jabali la muziki Tanzania toka miaka hiyo hadi kufa kwake hawakukosea aisee. Mpaka serikali ilitambua mchango wake na baadhi ya nyimbo zake zikatumika shuleni na ktk mitihani mbali mbali ya kitaifa. Pia mwaka 2015 kama sijasahau alipewa tuzo na raisi J. Kikwete.
Lkn pia kuna wasanii wengine nao wanaheshimika kwa uimbaji na utungaji wao kama vile Mbaraka Mwinshehe, Bitchuka, Gurumo, Dede, Chidumule nk.
Ila kwa kuwa king wa tasnia huwa ni mmoja basi Marijani Rajabu ashakaba namba mda mrefu. RIP kwa wasanii wetu wote waliotangulia mbele ya haki.
Hakika umeandika maneno mazuri sana mkuu. Muziki wetu ulianza kumezwa baada ya ujio wa kina Mr 11 (sugu) mnamo mwanzoni mwa miaka ya 90.Salute mkuu, kwa Marijani Shaaban(rip)nipo nawe 100%,Kumbuka ule wimbo wa mwanameka ulitokea kwenye swahili paper, yeah nchi hii kuna mtu alituelekeza siko, nchi haina mziki wake wa kuipambanua labda singeli!,hawa akina almasi, tembo etc etc wanakesi ya kujibu, wamevuruga mila na utamaduni wetu,kenge kabisa hawa
It's so sad mkuu,nyimbo zetu hata majirani zetu hasa DRC walikua wanazipenda na sometimes wanazipiga kama uke wimbo wa nairobi &Lagos by nite, solo la karenga lilikua linakabana koo na solo la mzee Franco, ushenzi ulioingia hii late 90s ni vurugu tupu, kipindi kokote ukiwa duniani wimbo ukipigwa kwenye radio huulizi unajua hiyo ni Tanzanian music na hao ni msondo...eti leo tunapiga amapiano!!,DJ Tira, Osikodo, etc ndio asili yao na ndio music wao ambao ni mwendelezo wa kwaito wapige nini?,eti nipo polokwane nasikiliza wimbo wa amapiano uliopigwa na Tembo from Tanzania!!,kenge kabisa hiiHakika umeandika maneno mazuri sana mkuu. Muziki wetu ulianza kumezwa baada ya ujio wa kina Mr 11 mnamo mwanzoni mwa miaka ya 90.
Jamaa alikuwa anasikiliza nyimbo za kina 2Pac afu anazibadilisha kwa kiswahili, vijana wanafurahi wanaona ujanja. Ikaenda ikaenda mwisho vijana wengi wakaingia kwenye mkumbo huo wa muziki wa wenzetu, na kuuendeleza hadi leo. Wanachofanya ni kubadili majina tu ili uonekane ni mziki wa nyumban.
Mara hip hop bongo, mara bongo fleva nk.
Wengine waliotuingiza chaka japo sio ile kivile ni hawa sijui twanga pepeta ya kina marehemu banza, ali choki, muumin mwinjuma nk.
Nao hiyo singeli ndo afadhali kidogo imesimama ktk nafasi ya mnanda au mchiriku kama wengi tulivyokuwa tunaita miaka hiyo. Mziki huu ulionekana wa kihuni, japo baadae baada ya wale vijana wa garikubwa kule mw/nyamala kuja na vibao vya akili kama vile raisi wetu hodari Ali Mwinyi, uko wapi mama nk.
Dah mziki wetu ushaondoka na ma legend wetu.
Mohammed Ali alikuwa anaimba mziki gani 🫣😂😂😂 nilikuwa nazungumzia tasnia ya music mkuu. Yuda naona ni upande wa watafuta pepo na kwenda mbinguni.
Tx moshi alitulia, mwishoni alitunga vitu noma saanaIngawa uzi wako umechanganya musicians na wasio musicians, binafsi charity start at home,Said Mabera Ile solo yake inayakabana koo na piano, sitegemei nchi hii itampata mbadala wake ohoooo Shabaan Dede.....Fatumaaaaaaaa nasafiri mamaaaa, naona niishei hapa maana nimeshaanza kuwa emotional hapa
Ni simanzi sana mkuu, yani uliyoandika bado nayapa 100% kwa vile ndio uhalisia wenyewe. Nakumbuka hata wimbo wa Kilwa jazz uliwahi kurudiwa na bendi fulan ya Congo jina la bendi nimelisahau.It's so sad mkuu,nyimbo zetu hata majirani zetu hasa DRC walikua wanazipenda na sometimes wanazipiga kama uke wimbo wa nairobi &Lagos by nite, solo la karenga lilikua linakabana koo na solo la mzee Franco, ushenzi ulioingia hii late 90s ni vurugu tupu, kipindi kokote ukiwa duniani wimbo ukipigwa kwenye radio huulizi unajua hiyo ni Tanzanian music na hao ni msondo...eti leo tunapiga amapiano!!,DJ Tira, Osikodo, etc ndio asili yao na ndio music wao ambao ni mwendelezo wa kwaito wapige nini?,eti nipo polokwane nasikiliza wimbo wa amapiano uliopigwa na Tembo from Tanzania!!,kenge kabisa hii
Wakati Pele anacheza soka hakukua hata na sheria ya Offside,alikua anatupia tu kambani,😂😂😂 hakuna king wawili kwenye tasnia. Hapo kwenye mpira tayari kaishabana mzee Pele wa brazil toka miaka hiyo. Hata waliotaka na Maradonna aongezwe walichemsha, sembuse ije kuwa bwana mdogo Mesi??
Mkuu sikatai kwamba Messi yuko mbali sana kimpira ukimlinganisha na Pele wa miaka ile.Wakati Pele anacheza soka hakukua hata na sheria ya Offside,alikua anatupia tu kambani,
MESSI ndio mfalme wa soka hata makocha wakubwa wanatambua hilo,
Ila ruksa kwako kuamini kua Pele ndio King.
Mohammed Ali alikuwa anaimba mziki gani 🫣