Hawa NMB kufanya fujo kwenye biashara za watu wamebarikiwa na nani?

Hawa NMB kufanya fujo kwenye biashara za watu wamebarikiwa na nani?

pye Chang shen

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2016
Posts
11,422
Reaction score
6,108
Watu wa mazingira wako wapi? Kwa kuwa tu wanatafuta wateja ndio wapige kelele kwenye mitaa? Kama hapa tulipo ni fujo ya matangazo na nyimbo wakati jirani tu hapa pana hospitali na wagonjwa kibao
Hawa jamaa ustaarabu ni ziro kabisa na bila shaka hata huko ofisini ni hivyo hivyo fujo tu

Picha na video zinakuja
 
Kuna jamaa yangu kanipigia anasema wameenda kufanya fujo karibu na msikiti mmoja huko kariakoo na ukizingatia leo ni siku ya ijumaa, hivi hawa Nmb wanatafuta nini? Au wametumwa?
Hivi vita ya dini wanayoianzisha hawa wataiweza?
 
Meneja wa Nmb fuatilia hili la kufanya promotion na magari na mziki wa nyimbo za matusi, badala ya kukusanya wateja basi mtapoteza wateja, mnaudhi sana watu
 
Back
Top Bottom