Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
Kesho subiri uone vibonde wetu wanavyotoa ulimi njeAisee natazama mpira wa Nusu fainali Caf Champions league hapa
Naona hawa Orlando Purates ambao ndio timu ipo nyumbani, ni kucheza mpira wa butua butua tu, mashuti yasiyokuwa na malengo
Hawa Pyramids siwalaumu sana sababu wapo ugenini
Wapigwe tuKuna wale stelle, mtawaonea huruma kesho.
Offside nyepesi ileWamefika nusu kwa kubebwa, angalia goli la Mayele ni clear onside
Mpira umevamia, Orlando Pirates sio timu mbovu kama unavyofikiria wewe shabiki wa mdako na marede. Wana takwimu nzuri ya kumiliki mpira na kupiga pasi kuliko hao Pyramid. Na umeuliza wamefikaje hapo, wamefika kwa kuongoza kundi lililo na Al Ahly na Belouizdad na kisha kamchapa Al Ahly kwake Misri. Na ndio timu pekee ambayo hajapoteza mechi mpaka sasaAisee natazama mpira wa Nusu fainali Caf Champions league hapa
Naona hawa Orlando Purates ambao ndio timu ipo nyumbani, ni kucheza mpira wa butua butua tu, mashuti yasiyokuwa na malengo
Hawa Pyramids siwalaumu sana sababu wapo ugenini
Mpira umevamia, Orlando Pirates sio timu mbovu kama unavyofikiria wewe shabiki wa mdako na marede. Wana takwimu nzuri ya kumiliki mpira na kupiga pasi kuliko hao Pyramid. Na umeuliza wamefikaje hapo, wamefika kwa kuongoza kundi lililo na Al Ahly na Belouizdad na kisha kamchapa Al Ahly kwake Misri. Na ndio timu pekee ambayo hajapoteza mechi mpaka sasa
Timu mbovu, kuna jinga moja linajifanya juaji linasema eti ni wakali...wamecheza vizuriHizi Team za SA hazina maisha zote hazitoboi.
Hata kesho Apo ZENJI anapigwa hao wazulu.
Kwanza Orlando naona washapigwa msumari apa
Ipo nyumbani halafi imepiga mashuti 10 halafu moja tu ndio limelenga lango....no big chance created, no goal scored..
Mpira ni takwimu, njoo na takwimu inayoonesha kuwa Orlando Pirates imecheza mpira wa kubutua butuaTimu mbovu, kuna jinga moja linajifanya juaji linasema eti ni wakali...wamecheza vizuri
Mpira umebadilika, achana na mpira wa kukariri nyumbani tu, mechi ya Orlando Pirates vs Al Ahly, Orlando Pirates walitoa sare ya 0-0 je unajua nini kilitokea kule Misri kwenye mechi ya marudiano? Mpira ni kujipanga kwa mbinu sahihi, hapa walipo wana advantage ya kutoruhusu goli la ugenini hivyo mechi bado ipo wazi kwa kila mmoja.Ipo nyumbani halafi imepiga mashuti 10 halafu moja tu ndio limelenga lango....no big chance created, no goal scored..
Orlando ame cteate chance ngapi?kapiga shuti ngapi golini zikawa saved? Kwa timu iliyokuwa inacheza uwanja wa nyumbani unaweza kusema ime perform vizuri?Mpira ni takwimu, njoo na takwimu inayoonesha kuwa Orlando Pirates imecheza mpira wa kubutua butua
1) possession Orlando kaongoza
2) pass Orlando kaongoza
Unaonekana una ulazimisha kuupenda mpira wakati uelewi kituView attachment 3309789