Twin Tower
JF-Expert Member
- Jan 13, 2023
- 4,903
- 7,213
Umemueleimisha na kumpa ushahidi. Umemaliza wajibu wako.Mpira umebadilika, achana na mpira wa kukariri nyumbani tu, mechi ya Orlando Pirates vs Al Ahly, Orlando Pirates walitoa sare ya 0-0 je unajua nini kilitokea kule Misri kwenye mechi ya marudiano? Mpira ni kujipanga kwa mbinu sahihi, hapa walipo wana advantage ya kutoruhusu goli la ugenini hivyo mechi bado ipo wazi kwa kila mmoja.View attachment 3309793