Hawa Orlando Pirates wamefikaje nusu fainali? Mbona timu mbovu hivi?

Hawa Orlando Pirates wamefikaje nusu fainali? Mbona timu mbovu hivi?

Mpira umebadilika, achana na mpira wa kukariri nyumbani tu, mechi ya Orlando Pirates vs Al Ahly, Orlando Pirates walitoa sare ya 0-0 je unajua nini kilitokea kule Misri kwenye mechi ya marudiano? Mpira ni kujipanga kwa mbinu sahihi, hapa walipo wana advantage ya kutoruhusu goli la ugenini hivyo mechi bado ipo wazi kwa kila mmoja.View attachment 3309793
Mpaka wabadilike sasa, kama wamecheza vibaya leo, wamecheza vibaya, wakibadilika ndio watakuwa wamecheza vizuri
 
Aisee natazama mpira wa Nusu fainali Caf Champions league hapa

Naona hawa Orlando Purates ambao ndio timu ipo nyumbani, ni kucheza mpira wa butua butua tu, mashuti yasiyokuwa na malengo

Hawa Pyramids siwalaumu sana sababu wapo ugenini
sas ungewaona mamelodi ndo ungechoka
 
Orlando ame cteate chance ngapi?kapiga shuti ngapi golini zikawa saved? Kwa timu iliyokuwa inacheza uwanja wa nyumbani unaweza kusema ime perform vizuri?
Unauliza maswali wakati takwimu imeandikwa hapo kuwa goalkeeper saves 1-1 . Nimeomba takwimu yako inayoonesha Orlando Pirates kabutua butua mpira. Timu inayoongoza katika possession na pass inapingana na neno kubutua butua.
 
Nasema orlando kabutua sababu alikuwa akifika golini anapiga tu mashuti bila mpangilio , hali iloyopelekea timu kupiga mashuti mengi golini ila moja tu ndio limelenga lango
 
Umefungua uzi inabidi uzi uelezeke kwa takwimu sio blah blah.
Timu un beaten kwenye klabu bingwa mpaka sasa, wewe unapata wapi jeuri ya kusema wamefikaje hapa?
Itakuwa jamaa hafahamu kuwa kwenye izi hatua, watu wanacheza kwa mipango na tahadhari kubwa sana.
 
Wewe umeanza juzi kuangalia mpira

Pyramid sio ya kitoto mkuu imagine striker mayere, winga Toure halafu hawa pirates hawana uzoefu ulitakiwa uwapongeze
 
Mwenyew nmeona hilo hilo...hata kufanya attempt tu ni shida....wanabutua tu mbele huko limkute yyte
 
Aisee natazama mpira wa Nusu fainali Caf Champions league hapa

Naona hawa Orlando Purates ambao ndio timu ipo nyumbani, ni kucheza mpira wa butua butua tu, mashuti yasiyokuwa na malengo

Hawa Pyramids siwalaumu sana sababu wapo ugenini
Utakuja kushangaa kwanini Yanga anayetembeza 5 kwa kila timu, anaishia makundi ya champion league🙂🙂🙂
 
Wewe utakuwa shabiki wa utopolo maana wengi hamjui soka kabisa.
Hii timu imefika hapo kwa sababu ilikutana na wabovu zaidi ambao kwa sasa hawashiriki mashindano ya kimataifa wakiwemo yanga.
 
Aisee natazama mpira wa Nusu fainali Caf Champions league hapa

Naona hawa Orlando Purates ambao ndio timu ipo nyumbani, ni kucheza mpira wa butua butua tu, mashuti yasiyokuwa na malengo

Hawa Pyramids siwalaumu sana sababu wapo ugenini
Kushinda Yanga?😆

Hspo ilitakiwa Yanga. Ila ndio mpira ulivyo😎😎
 
Utakuja kushangaa kwanini Yanga anayetembeza 5 kwa kila timu, anaishia makundi ya champion league🙂🙂🙂
5 za mchongo, ndio matokeo yake kwa michuano ya kimataifa, Kisago tu. Fake champion ya kufurahisha mashabiki nyumbani ili kufikia malengo ya kibiashara na kisiasa.
 
Kuzidiwa kupo tu haijalishi timu ipo nyumbani au ugenini.

Pia ikumbukwe kuwa kuna siku mbaya kazini.
 
Imefika kwasababu ilikutana na timu mbovumbovu kina Yanga
Ni wazi hujui hata kundi alilokuwepo Orlando Pirates ni kundi lililokuwa na timu zipi, kwa akili yako unafikiri Orlando alikuwa kwenye kundi la Yanga. Mfatilie mpira na mpende mpira badala ya kupenda Simba na Yanga ili muepukane aibu ndogo ndogo. Orlando Pirates alikuwa kundi moja Al Ahly na CR Belouizdad na akaongoza kundi.
 
Kashaikie rede maana huna unalojua kuhusu mpira.
Wewe umeanza juzi kuangalia mpira

Pyramid sio ya kitoto mkuu imagine striker mayere, winga Toure halafu hawa pirates hawana uzoefu ulitakiwa uwapongeze
Itakuwa jamaa hafahamu kuwa kwenye izi hatua, watu wanacheza kwa mipango na tahadhari kubwa sana.
Wewe unalojua niambie ni mipango ipi ya maana kafanya Pirates? Anafika golini na kupiga mashuti tu...mara 10 anafika golini na kubutua shuti, ila moja tu ndio limelenga lango,
 
Back
Top Bottom