Hongera refa wa nbcWamefika nusu kwa kubebwa, angalia goli la Mayele ni clear onside
Mipango sahihi nikutumia uwanja wa nyumbani vizuri.Usitegemee pyramid ataenda kufanya huo ujinga kwake.Hii ndio mihemko ya mashabiki wa mpira a.k.a mavuvuzera!!, Mtu anayekuja hapa na kuibeza pirate ni kichaaa tu😂. Hatua za mtuano zina mipango yake....
Pirates Alikuwa na mpangp gani genious?Hii ndio mihemko ya mashabiki wa mpira a.k.a mavuvuzera!!, Mtu anayekuja hapa na kuibeza pirate ni kichaaa tu😂. Hatua za mtuano zina mipango yake....
Waambie hao wapuuzi,yaani wasipoitaja Yanga roho zinawauma.Ni wazi hujui hata kundi alilokuwepo Orlando Pirates ni kundi lililokuwa na timu zipi, kwa akili yako unafikiri Orlando alikuwa kwenye kundi la Yanga. Mfatilie mpira na mpende mpira badala ya kupenda Simba na Yanga ili muepukane aibu ndogo ndogo. Orlando Pirates alikuwa kundi moja Al Ahly na CR Belouizdad na akaongoza kundi.
Inaonyesha jana ulibeti maana si kwa hasira hizoWewe unalojua niambie ni mipango ipi ya maana kafanya Pirates? Anafika golini na kupiga mashuti tu...mara 10 anafika golini na kubutua shuti, ila moja tu ndio limelenga lango,
Kwahiyo timi zote zinazofuvu zinatumia uwanja wa nyumbani, 😂😂 wachambuzi wa bongo bana!. Huyo zamaleki mbona huko kwake hakushinda au alikuwa Libya?. Mpira sio kitu rahisi kama tunavyodhani.Mipango sahihi nikutumia uwanja wa nyumbani vizuri.Usitegemee pyramid ataenda kufanya huo ujinga kwake.
Uliangalia mpira? Au unadhani kila mpango unatekelezwa lazima uzae Magori?.Pirates Alikuwa na mpangp gani genious?
Sasa huyo shabiki w s.A si ni Sawa na wewe wanaongalia mpira Magori asee😂😂Pirates Alikuwa na mpangp gani genious?
Kama hata mashabiki na wachambuzi wa soka South Africa wanaishangaa Pirates kuchrza vibaya walikuwa wanaishangaa timu yao kwa kukosa mipango wewe unasema walicheza vizuri
Pressure ipo pia kwa Pyramids. Sare yoyote ya magoli Orlando anapita.Siyo wabovu kihivyo, ijapokuwa pyramids Wana added advantage Sasa hivi
Ila Pyramids Nampa nafasi zaidiPressure ipo pia kwa Pyramids. Sare yoyote ya magoli Orlando anapita.
Tusubiri tuone!Ila Pyramids Nampa nafasi zaidi
Ndio timu pekee ambayo haijapoteza mchezo wwt,nilichoona jana nikichoka kwakua kikosi nikidogo kadiria 11 yao ndio hio hio kila siku,pyramid watawatoa but droo ya bila magoli ni mbaya kwa pyramidAisee natazama mpira wa Nusu fainali Caf Champions league hapa
Naona hawa Orlando Purates ambao ndio timu ipo nyumbani, ni kucheza mpira wa butua butua mashuti yasiyokuwa na malengo wakifika golini, hakuna ubunifu wa maana wanaojaribu kufanya wakifika golini
Hawa Pyramids siwalaumu sana sababu wapo ugenini
Sijaandika imekutana na Yanga mbona au fuse za ubongo zimeungua?Ni wazi hujui hata kundi alilokuwepo Orlando Pirates ni kundi lililokuwa na timu zipi, kwa akili yako unafikiri Orlando alikuwa kwenye kundi la Yanga. Mfatilie mpira na mpende mpira badala ya kupenda Simba na Yanga ili muepukane aibu ndogo ndogo. Orlando Pirates alikuwa kundi moja Al Ahly na CR Belouizdad na akaongoza kundi.
Kwahiyo Yanga kaingiaje kwa Orlando Pirates?Sijaandika imekutana na Yanga mbona au fuse za ubongo zimeungua?
Ule upande wa kulia wanazungusha mashati tu. Mipira yote wakipelekewa wanapoteza na cha kushangaza sikuona sub ya upande ule.Aisee natazama mpira wa Nusu fainali Caf Champions league hapa
Naona hawa Orlando Purates ambao ndio timu ipo nyumbani, ni kucheza mpira wa butua butua mashuti yasiyokuwa na malengo wakifika golini, hakuna ubunifu wa maana wanaojaribu kufanya wakifika golini
Hawa Pyramids siwalaumu sana sababu wapo ugenini