Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 9,504
- 20,293
- Thread starter
-
- #21
Mpaka wabadilike sasa, kama wamecheza vibaya leo, wamecheza vibaya, wakibadilika ndio watakuwa wamecheza vizuriMpira umebadilika, achana na mpira wa kukariri nyumbani tu, mechi ya Orlando Pirates vs Al Ahly, Orlando Pirates walitoa sare ya 0-0 je unajua nini kilitokea kule Misri kwenye mechi ya marudiano? Mpira ni kujipanga kwa mbinu sahihi, hapa walipo wana advantage ya kutoruhusu goli la ugenini hivyo mechi bado ipo wazi kwa kila mmoja.View attachment 3309793
sas ungewaona mamelodi ndo ungechokaAisee natazama mpira wa Nusu fainali Caf Champions league hapa
Naona hawa Orlando Purates ambao ndio timu ipo nyumbani, ni kucheza mpira wa butua butua tu, mashuti yasiyokuwa na malengo
Hawa Pyramids siwalaumu sana sababu wapo ugenini
Unauliza maswali wakati takwimu imeandikwa hapo kuwa goalkeeper saves 1-1 . Nimeomba takwimu yako inayoonesha Orlando Pirates kabutua butua mpira. Timu inayoongoza katika possession na pass inapingana na neno kubutua butua.Orlando ame cteate chance ngapi?kapiga shuti ngapi golini zikawa saved? Kwa timu iliyokuwa inacheza uwanja wa nyumbani unaweza kusema ime perform vizuri?
πππππsas ungewaona mamelodi ndo ungechoka
Nasema orlando kabutua sababu alikuwa akifika golini anapiga tu mashuti bila mpangilio , hali iloyopelekea timu kupiga mashuti mengi golini ila moja tu ndio limelenga langoUnauliza maswali wakati takwimu imeandikwa hapo kuwa goalkeeper saves 1-1 . Nimeomba takwimu yako inayoonesha Orlando Pirates kabutua butua mpira. Timu inayoongoza katika possession na pass inapingana na neno kubutua butua.
Itakuwa jamaa hafahamu kuwa kwenye izi hatua, watu wanacheza kwa mipango na tahadhari kubwa sana.Umefungua uzi inabidi uzi uelezeke kwa takwimu sio blah blah.
Timu un beaten kwenye klabu bingwa mpaka sasa, wewe unapata wapi jeuri ya kusema wamefikaje hapa?
Mapinduzi cupNyie wenye timu nzuri mmefika wapi?
Utakuja kushangaa kwanini Yanga anayetembeza 5 kwa kila timu, anaishia makundi ya champion leagueπππAisee natazama mpira wa Nusu fainali Caf Champions league hapa
Naona hawa Orlando Purates ambao ndio timu ipo nyumbani, ni kucheza mpira wa butua butua tu, mashuti yasiyokuwa na malengo
Hawa Pyramids siwalaumu sana sababu wapo ugenini
Wewe utakuwa shabiki wa utopolo maana wengi hamjui soka kabisa.Aisee natazama mpira wa Nusu fainali Caf Champions league hapa
Naona hawa Orlando Purates ambao ndio timu ipo nyumbani, ni kucheza mpira wa butua butua tu, mashuti yasiyokuwa na malengo
Hawa Pyramids siwalaumu sana sababu wapo ugenini
Kushinda Yanga?πAisee natazama mpira wa Nusu fainali Caf Champions league hapa
Naona hawa Orlando Purates ambao ndio timu ipo nyumbani, ni kucheza mpira wa butua butua tu, mashuti yasiyokuwa na malengo
Hawa Pyramids siwalaumu sana sababu wapo ugenini
5 za mchongo, ndio matokeo yake kwa michuano ya kimataifa, Kisago tu. Fake champion ya kufurahisha mashabiki nyumbani ili kufikia malengo ya kibiashara na kisiasa.Utakuja kushangaa kwanini Yanga anayetembeza 5 kwa kila timu, anaishia makundi ya champion leagueπππ
Ni wazi hujui hata kundi alilokuwepo Orlando Pirates ni kundi lililokuwa na timu zipi, kwa akili yako unafikiri Orlando alikuwa kwenye kundi la Yanga. Mfatilie mpira na mpende mpira badala ya kupenda Simba na Yanga ili muepukane aibu ndogo ndogo. Orlando Pirates alikuwa kundi moja Al Ahly na CR Belouizdad na akaongoza kundi.Imefika kwasababu ilikutana na timu mbovumbovu kina Yanga
Yaani mstari umechorwa kabisa wa offside lakini bado unabishana. Aisee wabongo ni walalamishi mnoWamefika nusu kwa kubebwa, angalia goli la Mayele ni clear onside
Kashaikie rede maana huna unalojua kuhusu mpira.
Wewe umeanza juzi kuangalia mpira
Pyramid sio ya kitoto mkuu imagine striker mayere, winga Toure halafu hawa pirates hawana uzoefu ulitakiwa uwapongeze
Wewe unalojua niambie ni mipango ipi ya maana kafanya Pirates? Anafika golini na kupiga mashuti tu...mara 10 anafika golini na kubutua shuti, ila moja tu ndio limelenga lango,Itakuwa jamaa hafahamu kuwa kwenye izi hatua, watu wanacheza kwa mipango na tahadhari kubwa sana.