Hawa Orlando Pirates wamefikaje nusu fainali? Mbona timu mbovu hivi?

Orlando pirates wamecheza mpira wa kimkakati sana mbinu bora bado wamecheza vizur pyramids wana timu nzur na kocha Bora
 
Hii ndio mihemko ya mashabiki wa mpira a.k.a mavuvuzera!!, Mtu anayekuja hapa na kuibeza pirate ni kichaaa tu😂. Hatua za mtuano zina mipango yake....
 
Hii ndio mihemko ya mashabiki wa mpira a.k.a mavuvuzera!!, Mtu anayekuja hapa na kuibeza pirate ni kichaaa tu😂. Hatua za mtuano zina mipango yake....
Mipango sahihi nikutumia uwanja wa nyumbani vizuri.Usitegemee pyramid ataenda kufanya huo ujinga kwake.
 
Hii ndio mihemko ya mashabiki wa mpira a.k.a mavuvuzera!!, Mtu anayekuja hapa na kuibeza pirate ni kichaaa tu😂. Hatua za mtuano zina mipango yake....
Pirates Alikuwa na mpangp gani genious?
Kama hata mashabiki na wachambuzi wa soka South Africa wanaishangaa Pirates kuchrza vibaya walikuwa wanaishangaa timu yao kwa kukosa mipango wewe unasema walicheza vizuri
 
Waambie hao wapuuzi,yaani wasipoitaja Yanga roho zinawauma.
 
Hata hizo pasi anazo ongoza huo pirates nyingi ni backpass..

Zile za mashambulizi na zakufikia goli la mpinzani ni chache sana. Kama hukuangalia mpira na kuzama tu livescore kucheki stats utajua olando kaupiga kweli kumbe chenga tu.
 
Mipango sahihi nikutumia uwanja wa nyumbani vizuri.Usitegemee pyramid ataenda kufanya huo ujinga kwake.
Kwahiyo timi zote zinazofuvu zinatumia uwanja wa nyumbani, 😂😂 wachambuzi wa bongo bana!. Huyo zamaleki mbona huko kwake hakushinda au alikuwa Libya?. Mpira sio kitu rahisi kama tunavyodhani.
 
Pirates Alikuwa na mpangp gani genious?
Kama hata mashabiki na wachambuzi wa soka South Africa wanaishangaa Pirates kuchrza vibaya walikuwa wanaishangaa timu yao kwa kukosa mipango wewe unasema walicheza vizuri
Sasa huyo shabiki w s.A si ni Sawa na wewe wanaongalia mpira Magori asee😂😂
 
Ndio timu pekee ambayo haijapoteza mchezo wwt,nilichoona jana nikichoka kwakua kikosi nikidogo kadiria 11 yao ndio hio hio kila siku,pyramid watawatoa but droo ya bila magoli ni mbaya kwa pyramid
 
Jamani umsilete taswira zenu za boli la ulaya kwenye mpira wa africa, huku magoli hamna na fabo tunajifunza bado
 
Sijaandika imekutana na Yanga mbona au fuse za ubongo zimeungua?
 
Ule upande wa kulia wanazungusha mashati tu. Mipira yote wakipelekewa wanapoteza na cha kushangaza sikuona sub ya upande ule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…