Hawa Sio Comedians ila wakiongea mbele ya watu lazima tucheke sana

Chai
 
Kuna yule wa weeee ulisikia wapi?........Maji ni tatizo unalala na mkeoooo halafu Maji hakuna weeeee ulisikia wapi...
 
Ondoa jinga li mwijaku. Anatia kinyaa hachekeshi
 
4. RC mstaafu Aggrey Mwanri

11. Mheshimiwa Bwege


14. Masau Bwire


Wananifuarahisha sana ila Bwege nasikia kakamtwa mguu yupo kwao sijui kilwa huko
 
Kama ukichekeshwa na Mwijaku inabidi upimwe akili.
Mimi mwenyewe namshangaa mleta mada,eti mwijaku!!!! Yule jamaa ana force sana mambo licha tu kuwa analazimisha kuchekesha ila hata kuongea tu hajui,anaongelea puani mara mia ungemuweka dakta pimbi muonekano wake tu umekaa kichawa chawa[emoji23][emoji23] unacheka tu kumuona hata asipoongea
 
Yule Pastor Daniel Mgogo huwa ananichekesha Kwenye mahubiri yake
 
Yule Pastor Daniel Mgogo huwa ananichekesha Kwenye mahubiri yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…