salim kimosa
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 391
- 362
Nenda play store ukadownload appSeriously kwani si mmesema unaomba tu unapata chini ya dakika 5, nami naomba.
mkuu tala mwisho laki tatu.Me mwanzo walinipa elfu 30 saivi nipo kwenye 900,000/=
Jamaa angu alikopa hlf akataka kuwapotezea wakatumia hiyo akaunti ya Fb kama point ya kumkamatia walimtumia sms utajisikia tukutangaze Fb kuwa wewe ni mdaiwa sugu na kule una ndugu zako, marafiki... Kisa tu hicho kiasi cha pesa...Walinikera eti mpaka uwe na akaunti ya fb ..sijui wanadhani kila mtu anatumia
Kiongozi inamaana riba wewe hulipi au????Silipi hata senti mama,nilikuwa nakopa natoa nakaa siku moja narudisha hivyo hivyo mpaka nimefiia kiwango hiki
Yaani mpaka.ukibadilisha simu.wanajuaaa.hapo kwenye sera ya faragha(privacy) ndo panaponipa mashaka, ni kweli kuwa wanasoma msg zako ili kupata uhakika wa kukuamini ndipo wakukopeshe hiyo pesa?
Wangekuwa wanagawa bure ningekupa hongera ila kwa kuwa unalipa na riba ya 20+℅ nakupa pole sana mkuuMe mwanzo walinipa elfu 30 saivi nipo kwenye 900,000/=
Marejesho yapoje hapo?Me mwanzo walinipa elfu 30 saivi nipo kwenye 900,000/=
Huo mtaji kabisa, kaanzishe business utawalipa ukianza kumake faidaTala wananidai 120,000/=
L pesa wananidai 225,000/=
Airtel timiza wananidai 178,000/=
Tigo nivushe wananidai 312,000/=
Branch wananidai 57000/=
Madeni yote yana zaidi ya mwaka hayajalipwa
Tala washanitoa mpaka kwenye Gazeti kama mdaiwa Sugu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilishazitafuna hata cha maana sikuzifanyiagaHuo mtaji kabisa, kaanzishe business utawalipa ukianza kumake faida
Sent using Jamii Forums mobile app
branch ndio ikoje hiyo mkuuTala wananidai 120,000/=
L pesa wananidai 225,000/=
Airtel timiza wananidai 178,000/=
Tigo nivushe wananidai 312,000/=
Branch wananidai 57000/=
Madeni yote yana zaidi ya mwaka hayajalipwa
Tala washanitoa mpaka kwenye Gazeti kama mdaiwa Sugu
Sent using Jamii Forums mobile app
branch ndio ikoje hiyo mkuu