Hawa Tala Tanzania ninyi mnawaelewa?

Hawa Tala Tanzania ninyi mnawaelewa?

Ni kweli kabisaaa kuna siku nlilipa mkopo wa 72 elfu nikakopeshwa elfu 70 ....sijalipa mpaka kesho na silipi mpaka kiama wajinga sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Bosi itakula kwako. Wakipeleka jina lako kwenye credit reference Bureau unaweza usipate mkopo kwenye taasisi yote ya kifedha maishani. Unaweza usione impact yake sasa lakini ikaja kukuathiri baadaye. Hii mikopo midogo ni ya hatari sana inaweza chafua faili lako.
 
Mkuu bado hujawalipa? Nasikia wanapiga sana simu mara 20 kwa siku kama ukizidisha siku za malipo
Sitowalipa laini nlishatupa na kitambulisho kimepotea
 
Aisee tala na branch tushamalizana. Saivi ni mwendo wa nmb salary advance tu *****
 
  • Thanks
Reactions: y-n
Ukitaka kuwezana na mikopo, jithidi tu uwe na cash flow nzuri.....kwa maana ya kuwa na income nzuri
 
Kuna uzi niliuweka humu wa kudaiwa na tala na kunipigia pigia na manamba yao ya safaricom siwalipiiii ng'oo
 
Vp L PESA wanafanya kazi bdo?
Nmejaribu kujiunga hawanipi password
 
Tatizo tala kwenye kujisajiri mnaitaji marekebisho mnataka mtu awe na kitambulisho cha kira pekee badala ya vitambulisho vyote muhimu kama cha taifa na chakupigia kula wengi tunashindwa kutumia huduma hii kwakua hatuna vitambulisho vya kula,ebu jirekebisheni hapo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivo vitambulisho unavyotaja sijavielewa hata kimoja
 
Back
Top Bottom