Ntwa A. Katule
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 239
- 230
Bosi itakula kwako. Wakipeleka jina lako kwenye credit reference Bureau unaweza usipate mkopo kwenye taasisi yote ya kifedha maishani. Unaweza usione impact yake sasa lakini ikaja kukuathiri baadaye. Hii mikopo midogo ni ya hatari sana inaweza chafua faili lako.Ni kweli kabisaaa kuna siku nlilipa mkopo wa 72 elfu nikakopeshwa elfu 70 ....sijalipa mpaka kesho na silipi mpaka kiama wajinga sana
Sent using Jamii Forums mobile app