Hawa Tala Tanzania ninyi mnawaelewa?

Hawa jamaa hana usumbufu wowote ila tunachohitaji kufuata vigezo na masharti yao utafurahi coz kuna wakat mtu unakuwa na shida kweli ya fedha ili kutatua matatizo yanayokukabili kwahy hawa nakuwezesha kwa namna hiyo ila kuna asilimia Fulani kama riba yao wanachukua kutoka kwenye fedha utayorudisha inategemea unarudisha kwa kipindi cha mwisho wa mwez au siku 21
 
Tala ni excellent kwa pesa ya bata!
Mm wamenikopa 92 mpaka sasa nikliwalipa wananipa kilo na nusu hii ni pesa kulia bata inapokata ghafla ukiwa meza ndefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Leo nawalipa tigo nivushe
Branch
Tala nawalipa kesho maana line zote 2 wanazidai


Hizi kitu twazidharau ila ukishikwa na dharura ya ghafla utawatafuta mwenyewe
Kuna wajinga wanazipondea ila wakibanwa wanaanza kutukopa 30,40.M nawajibu wakakope tala au branch,tens hakuna Jirani au rafiki atakayejua.Dunia inabadilika kwa kasi sana,ambapo ukitaka pesa ya gafla basi tumia simu yako.Kuna watu wanatumia hii kupata/kukuza mitaji ya biashara ndogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…