chubio
Senior Member
- Jun 21, 2012
- 106
- 16
Namba zao ukitaka kuwapigia,namba nipatie aiseeAta Mimi pia tena nipo ktk kiwango kikubwa ktk ukopaji.walinipigia cm kunipa pongezi kwa kua mkopaji wa mda mrefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba zao ukitaka kuwapigia,namba nipatie aiseeAta Mimi pia tena nipo ktk kiwango kikubwa ktk ukopaji.walinipigia cm kunipa pongezi kwa kua mkopaji wa mda mrefu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi wameniambia nitume leo au watanitangaza kama mdaiwa sugu.pamoja na kujieleza na ni lazima nilipe sasa vitisho sijui ni kwa ninihawajakutafuta kaka maana mi laki tu natumiwa vimeseji vya vitisho
Wanatuma sms za vitisho nyingi utadhani wanaona mtu hatalipa.sijui kwa nini bana,unajua kumtisha mtu kunaweza kumtoa kwenye utulivu wa kutafuta pesa na kuwarejesheaKuna uzi niliuweka humu wa kudaiwa na tala na kunipigia pigia na manamba yao ya safaricom siwalipiiii ng'oo
Usije ukawa ndo mkurugenzi mwenyewe was Tala[emoji4] [emoji4]Mm ni mmoja kati ya watu wanaofaidika na mkopo toka tala, hawana shida hawana usumbufu
Sent using Jamii Forums mobile app
Lipa mkuu 😁😁😁Wanatuma sms za vitisho nyingi utadhani wanaona mtu hatalipa.sijui kwa nini bana,unajua kumtisha mtu kunaweza kumtoa kwenye utulivu wa kutafuta pesa na kuwarejeshea
Sent using Jamii Forums mobile app
Lipa mkuu 😁😁😁Wanatuma sms za vitisho nyingi utadhani wanaona mtu hatalipa.sijui kwa nini bana,unajua kumtisha mtu kunaweza kumtoa kwenye utulivu wa kutafuta pesa na kuwarejeshea
Sent using Jamii Forums mobile app
Jina lako litapelekwa kwenye list ya matapeli na wadaiwa sugu..sina mpango wa kuwalipa, nini madhara yake kwangu
hivi vitisho tu, kama ni mtumishi wa serikali watanizuia vipiJina lako litapelekwa kwenye list ya matapeli na wadaiwa sugu..
Siku ukitaka mkopo benki, benki husika lazima kwenye hiyo list, jina lako likiwepo jua mkopo hupati!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninakopa hafu natupa line na kila kitu
a e i o u
Sio kweli kwani ile ya mwanzo ni ya kwako?Madhara ya kutokujua hesabu, hawa jamaa wanatumia udhaifu wa watanzania kujipatia mahela kibao.
Kuna wajinga wanazipondea ila wakibanwa wanaanza kutukopa 30,40.M nawajibu wakakope tala au branch,tens hakuna Jirani au rafiki atakayejua.Dunia inabadilika kwa kasi sana,ambapo ukitaka pesa ya gafla basi tumia simu yako.Kuna watu wanatumia hii kupata/kukuza mitaji ya biashara ndogo.Leo nawalipa tigo nivushe
Branch
Tala nawalipa kesho maana line zote 2 wanazidai
Hizi kitu twazidharau ila ukishikwa na dharura ya ghafla utawatafuta mwenyewe
14% kwa 20%Wangekuwa wanagawa bure ningekupa hongera ila kwa kuwa unalipa na riba ya 20+℅ nakupa pole sana mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Naunga mkono hoja...Tala wako vizuri sana,ukifuata taratibu zao na kurejesha kwa wakati!
Sent using Jamii Forums mobile app
Kiwango cha mkopo huwa kinaongezeka kwa kiasi gani/% ngap baada ya kulipa mkopo wa awali?wapo vizuri hasa kwa waaminifu,mimi nimerahisisha maisha sana kupitia tala nimefika kiwango cha 310k
Sent using Jamii Forums mobile app