mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Hawa Tamisemi wako kimya tu kuhusu ajira za walimu. Bila shaka wamelenga ajira zianze julai mosi. Sasa ni vizuri wakatoa majina mapema ili watu wajipange, wasije wakatoa majina kisha kutoa muda mfupi wa kuripoti na vitisho kuwa mtu asiporipoti mapema nafasi yake itachukuliwa. Ninachoshangaa ni akaunti zote kufungwa ambapo ndiyo palipaswa kuwa ni uwanja wa mawasiliano.