Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dhana ya uhuru wa kujieleza mkuuMnalilia PDF likimwagwa mnaanza kuulizia tena serikali inatangaza lini ajira mpya, tulizeni wenge.
Ushaambiwa trh moja wa Saba mnarepoti Sasa why uwashwewashweHawa Tamisemi wako kimya tu kuhusu ajira za walimu. Bila shaka wamelenga ajira zianze julai mosi. Sasa ni vizuri wakatoa majina mapema ili watu wajipange, wasije wakatoa majina kisha kutoa muda mfupi wa kuripoti na vitisho kuwa mtu asiporipoti mapema nafasi yake itachukuliwa. Ninachoshangaa ni akaunti zote kufungwa ambapo ndiyo palipaswa kuwa ni uwanja wa mawasiliano.
Walimu hawajaelewei hasa tukianzia na wewe mleta uzi..kazi yenu ni kulialia na kutumia kisiasa tu...walimu mnashiriki kuitia laana hii nchi.Hayo mawazo yalishapitwa na wakati! Kwanza walimu hawana njaa, walimu ndio wanaopata mshahara mkubwa kuliko kada zingine na labda wanazidiwa na madaktari na wafamasia tu. Ila watu wengi wamekariri eti walimu hawana pesa. Walimu wa leo si kama walimu wa zamani. ila walimu wanajielewa!!
Wewe kwa uandishi huu unamtukana mwalimu?ni vyema umuombe mwalimu akurudishe darasani ujue kusoma na kuandika vizuri.Walimu hawajaelewei hasa tukianzia na wewe mleta uzi..kazi yenu ni kulialia na kutumia kisiasa tu...walimu mnashiriki kuitia laana hii nchi.
#MaendeleoHayanaChama
Hilo PDF huwa linatuacha hoi.Mnalilia PDF likimwagwa mnaanza kuulizia tena serikali inatangaza lini ajira mpya, tulizeni wenge.
Halafu nyie waalimu na wauguzi muanze kupigwa interview la sivyo tutakuwa na watumishi vilaza , kozi nyingibe wanapigwa interview why not you ,?Hawa Tamisemi wako kimya tu kuhusu ajira za walimu. Bila shaka wamelenga ajira zianze julai mosi. Sasa ni vizuri wakatoa majina mapema ili watu wajipange, wasije wakatoa majina kisha kutoa muda mfupi wa kuripoti na vitisho kuwa mtu asiporipoti mapema nafasi yake itachukuliwa. Ninachoshangaa ni akaunti zote kufungwa ambapo ndiyo palipaswa kuwa ni uwanja wa mawasiliano.
Mkuu hoja nzuri ni Ile isiyogeneralize. Haitokei watu wote wakawa wabaya/ wema katika kada yoyote. Ni vizuri kutumia neno "baadhi".Walimu hawajaelewei hasa tukianzia na wewe mleta uzi..kazi yenu ni kulialia na kutumia kisiasa tu...walimu mnashiriki kuitia laana hii nchi.
#MaendeleoHayanaChama
Kusubiri PDF ni hatari mnoo ni bora ikatoka usiwemo ujue unasonga mbele kuliko kuwa kwenye moment ya kusubiri. Kipindi cha kusubiri kina matumaini fulani ya kumpumbaza mtu kiasi kwamba hata anakuwa mzito kwa shughuli anayofanya au mchongo mwingine unaoelekea kukaa sawa, so wanaoitaka PDF kwa haraka nao wana maana nzuri tu tuwaheshimu.Mnalilia PDF likimwagwa mnaanza kuulizia tena serikali inatangaza lini ajira mpya, tulizeni wenge.
Aacha wivuuuHalafu nyie waalimu na wauguzi muanze kupigwa interview la sivyo tutakuwa na watumishi vilaza , kozi nyingibe wanapigwa interview why not you ,?
Acha kuropoka husiyoyajua,mwaka 2020 deadline ilikuwa trh 04/10 na post zikatoka trh 27/11 ropoka tenaMtoa mada una hoja. Toka uombaji wa online umeanza haijawahi kutokea selection zikachelewa namna hii, mara nyingi huwa ni mwezi mmoja tu mambo yanakuwa wazi na ndo maana halisi ya matumizi ya technology tofauti na hapo awali tulikuwa tukituma maombi kwa njia ya posta.
Kuhoji sio njaa, isipokuwa ndo matumizi yenyewe ya akili.
Uzoefu unaniambia mara nyingi watu wenye hoja za kudharau/kudhalilisha kazi fulani huwa ndo wenye shida kuliko kawaida.
Dogo mmoja kodi yake iliisha tareheKusubiri PDF ni hatari mnoo ni bora ikatoka usiwemo ujue unasonga mbele kuliko kuwa kwenye moment ya kusubiri. Kipindi cha kusubiri kina matumaini fulani ya kumpumbaza mtu kiasi kwamba hata anakuwa mzito kwa shughuli anayofanya au mchongo mwingine unaoelekea kukaa sawa, so wanaoitaka PDF kwa haraka nao wana maana nzuri tu tuwaheshimu.
U.shoga umewafanya vijana wengi waone maisha ni rahisi sana.Walimu muna njaa sana hadi mnakera Sasa kwenye hii nchi loooooh, mbona watu wa afya sijaona hii mihemko, maajira kibao yametoka lakini walimu mpaka kero ndomana wanaendaga walio feli akili zenu huwa hazijifichi, swala la selection ni process sio event Sasa haraka zako hizo siku majina yakitoka utasema bora yasingetoka nautakuja kuwachukia maisha yao yote wewe lete kiherehere tu
Mpaka bajeti ilipopitishwa hawa kujua hizo hesabu. Na mbona una haraka saana. Mwaka jana hizo ajira zilikaa muda gani baada ya maombi kutumwa.? Muda bado ila kuanzia wiki ya kesho tarehe 20 kwenda mbele watatoa majina ya waliopata. Msipotoshe watu.Kuna jambo haliko sawa hapa. Kwa harakaharaka halionekani, lakini lipo.
1. Ajira kucheleweshwa kwaweza kuwa ni kwa ajili ya kuanzishia Julai kama miaka ya nyuma ilivyokuwa. Ingawa huenda serikali imeishiwa pia.
2. Sijui wizara nuyingine zinazopewa ruzuku kukoje. Lakini kwa wizara ya elimu, ile ruzuku ya matumizi hadi jana 18.6.2022 haikuwa imetolewa, jambo ambalo halijawahi kutukia.
3. Kuna mtu huko juu kaniambia miradi ya maendeleo inapunguzwa kuanzishwa, sababu ni fedha kiduchu.
Tusubiri tuone kama ni kweli au ni mtazamo hasi tu.
Unawatukana waalimu wakati hata kuandika tu huwezi. Huo mwandiko aisee kazi ipo. Much known afu ignorance mkubwa. ShitWalimu hawajaelewei hasa tukianzia na wewe mleta uzi..kazi yenu ni kulialia na kutumia kisiasa tu...walimu mnashiriki kuitia laana hii nchi.
#MaendeleoHayanaChama
Kwani kwenye mfumo wa maombi kulikuwa na kipengele kuonesha kuwa uliwahi kujitolea au wanatumia nini ?Mchakato unachelewa nadhani kutokana na issue hii ya kujitolea Ku link majina kwenye mfumo ule wa SIS na wao