mbingunikwetu
JF-Expert Member
- Feb 17, 2015
- 13,897
- 18,477
Tuwe wavumilivuHawa Tamisemi wako kimya tu kuhusu ajira za walimu. Bila shaka wamelenga ajira zianze julai mosi. Sasa ni vizuri wakatoa majina mapema ili watu wajipange, wasije wakatoa majina kisha kutoa muda mfupi wa kuripoti na vitisho kuwa mtu asiporipoti mapema nafasi yake itachukuliwa. Ninachoshangaa ni akaunti zote kufungwa ambapo ndiyo palipaswa kuwa ni uwanja wa mawasiliano
Padogo mpaka wapi?Mkuu mbona umevumilia muda mrefu ushindwe hapa padogo tu!!??
Walimu muna njaa sana hadi mnakera Sasa kwenye hii nchi loooooh, mbona watu wa afya sijaona hii mihemko, maajira kibao yametoka lakini walimu mpaka kero ndomana wanaendaga walio feli akili zenu huwa hazijifichi, swala la selection ni process sio event Sasa haraka zako hizo siku majina yakitoka utasema bora yasingetoka nautakuja kuwachukia maisha yao yote wewe lete kiherehere tuHawa Tamisemi wako kimya tu kuhusu ajira za walimu. Bila shaka wamelenga ajira zianze julai mosi. Sasa ni vizuri wakatoa majina mapema ili watu wajipange, wasije wakatoa majina kisha kutoa muda mfupi wa kuripoti na vitisho kuwa mtu asiporipoti mapema nafasi yake itachukuliwa. Ninachoshangaa ni akaunti zote kufungwa ambapo ndiyo palipaswa kuwa ni uwanja wa mawasiliano
Mkuu punguza jazba. Sio kila wakati upo speed. Muda mwingine slow down maisha yaende. Umejaaliwa ridhiki shukuru Mungu mkuu. Sio wote kama ww hakuna aliyependa kusoma fani ya UALIMU. Kipato na familia zetu ni tatizo aaiseeee. Hata kama una kapesa shona mdomo pita kule.Walimu muna njaa sana hadi mnakera Sasa kwenye hii nchi loooooh, mbona watu wa afya sijaona hii mihemko, maajira kibao yametoka lakini walimu mpaka kero ndomana wanaendaga walio feli akili zenu huwa hazijifichi, swala la selection ni process sio event Sasa haraka zako hizo siku majina yakitoka utasema bora yasingetoka nautakuja kuwachukia maisha yao yote wewe lete kiherehere tu
Huo ndo utaratibu, muda wa maombi ukiisha huwa zinafungwaHawa Tamisemi wako kimya tu kuhusu ajira za walimu. Bila shaka wamelenga ajira zianze julai mosi. Sasa ni vizuri wakatoa majina mapema ili watu wajipange, wasije wakatoa majina kisha kutoa muda mfupi wa kuripoti na vitisho kuwa mtu asiporipoti mapema nafasi yake itachukuliwa. Ninachoshangaa ni akaunti zote kufungwa ambapo ndiyo palipaswa kuwa ni uwanja wa mawasiliano
Hayo mawazo yalishapitwa na wakati! Kwanza walimu hawana njaa, walimu ndio wanaopata mshahara mkubwa kuliko kada zingine na labda wanazidiwa na madaktari na wafamasia tu. Ila watu wengi wamekariri eti walimu hawana pesa. Walimu wa leo si kama walimu wa zamani. ila walimu wanajielewa!!Walimu muna njaa sana hadi mnakera Sasa kwenye hii nchi loooooh, mbona watu wa afya sijaona hii mihemko, maajira kibao yametoka lakini walimu mpaka kero ndomana wanaendaga walio feli akili zenu huwa hazijifichi, swala la selection ni process sio event Sasa haraka zako hizo siku majina yakitoka utasema bora yasingetoka nautakuja kuwachukia maisha yao yote wewe lete kiherehere tu
Mkuu wewe Ni ke?Walimu muna njaa sana hadi mnakera Sasa kwenye hii nchi loooooh, mbona watu wa afya sijaona hii mihemko, maajira kibao yametoka lakini walimu mpaka kero ndomana wanaendaga walio feli akili zenu huwa hazijifichi, swala la selection ni process sio event Sasa haraka zako hizo siku majina yakitoka utasema bora yasingetoka nautakuja kuwachukia maisha yao yote wewe lete kiherehere tu
Kuwa na subira Mwalimu....... kumbuka subira yavuta heriPadogo mpaka wapi?
Uba watukana waalimu afu mwemyewe unajua vuwanja vya kulala bure. πππ. Maajabu haja wahi kuisha. Huzi fake ID zina waficha saana.Walimu muna njaa sana hadi mnakera Sasa kwenye hii nchi loooooh, mbona watu wa afya sijaona hii mihemko, maajira kibao yametoka lakini walimu mpaka kero ndomana wanaendaga walio feli akili zenu huwa hazijifichi, swala la selection ni process sio event Sasa haraka zako hizo siku majina yakitoka utasema bora yasingetoka nautakuja kuwachukia maisha yao yote wewe lete kiherehere tu
Mmh hapa umetoa boko si kweli tusingepigana nao vikumbo kwenye kazi ya sensaHayo mawazo yalishapitwa na wakati! Kwanza walimu hawana njaa, walimu ndio wanaopata mshahara mkubwa kuliko kada zingine na labda wanazidiwa na madaktari na wafamasia tu. Ila watu wengi wamekariri eti walimu hawana pesa. Walimu wa leo si kama walimu wa zamani. ila walimu wanajielewa!!
Nadhani alitaka kusema, katika halmashauri walimu ni miongoni mwa watumishi wanaolipwa vizuri sana.Mmh hapa umetoa boko si kweli tusingepigana nao vikumbo kwenye kazi ya sensa
Kuna jambo haliko sawa hapa. Kwa harakaharaka halionekani, lakini lipo.Next week wanaweza kuachia hivyo kuwa na subira mkuu