Hawa TAMISEMI vipi? Mbona ajira ya walimu ni kimya na akaunti za waombaji zote wamezifunga

Tusisahau mchakato wa sensa ulioanzishwa, ratiba yake imekwama. Je ni kwanini hadi leo kuko kimya?
 
Serikali hii wapigaji ni wengi hivo hakuna pesa za kuajiri...vijana endeleeeni kula mtori nyama mtazikuta chini.
 
Ushaambiwa trh moja wa Saba mnarepoti Sasa why uwashwewashwe
 
Walimu hawajaelewei hasa tukianzia na wewe mleta uzi..kazi yenu ni kulialia na kutumia kisiasa tu...walimu mnashiriki kuitia laana hii nchi.


#MaendeleoHayanaChama
 
Jf kuna watu wanajiona wajuaji sana yaani hawawizi kuchangia kitu wala kurekebisha mahali bila kutumia lugha ya kibri , dharau na majivuno hii ni hatari sana kibri ni sifa ya watu madhalimu kabisa kuwahi kutokea tokea ulimwengu uumbwe.

Mafundisho ya Uislamu yanasema mtu akiwa na chembe ya kibri kiasi hata ya punje ndogo basi peponi atapasikia tu hata ile kutembea kwa kudundika inamaanisha kibri ni dhambi kubwa .Staha na busara na upole ni muhimu ktk maisha yetu ya kila siku maana hakuna mkamilifu.
 
Walimu hawajaelewei hasa tukianzia na wewe mleta uzi..kazi yenu ni kulialia na kutumia kisiasa tu...walimu mnashiriki kuitia laana hii nchi.


#MaendeleoHayanaChama
Wewe kwa uandishi huu unamtukana mwalimu?ni vyema umuombe mwalimu akurudishe darasani ujue kusoma na kuandika vizuri.
 
Mnalilia PDF likimwagwa mnaanza kuulizia tena serikali inatangaza lini ajira mpya, tulizeni wenge.
Hilo PDF huwa linatuacha hoi.
Watu wapunguze mihemko mana unaweza ukawa unashupaza shingo ila zikitoka kiherehere chote kinakuisha.
Watu tuwe wapole mbona kada nyingine wametulia wanasubiri ila sisi kazi kulalamika tu.
Ndio mana wakati mwingine tunadharaulika halafu tunalaumu watu kumbe sisi wenyewe tunafanya mambo yanayosababisha tudharaulike.


Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Halafu nyie waalimu na wauguzi muanze kupigwa interview la sivyo tutakuwa na watumishi vilaza , kozi nyingibe wanapigwa interview why not you ,?
 
Mtoa mada una hoja. Toka uombaji wa online umeanza haijawahi kutokea selection zikachelewa namna hii, mara nyingi huwa ni mwezi mmoja tu mambo yanakuwa wazi na ndo maana halisi ya matumizi ya technology tofauti na hapo awali tulikuwa tukituma maombi kwa njia ya posta.

Kuhoji sio njaa, isipokuwa ndo matumizi yenyewe ya akili.
Uzoefu unaniambia mara nyingi watu wenye hoja za kudharau/kudhalilisha kazi fulani huwa ndo wenye shida kuliko kawaida.
 
Walimu hawajaelewei hasa tukianzia na wewe mleta uzi..kazi yenu ni kulialia na kutumia kisiasa tu...walimu mnashiriki kuitia laana hii nchi.


#MaendeleoHayanaChama
Mkuu hoja nzuri ni Ile isiyogeneralize. Haitokei watu wote wakawa wabaya/ wema katika kada yoyote. Ni vizuri kutumia neno "baadhi".
 
Mnalilia PDF likimwagwa mnaanza kuulizia tena serikali inatangaza lini ajira mpya, tulizeni wenge.
Kusubiri PDF ni hatari mnoo ni bora ikatoka usiwemo ujue unasonga mbele kuliko kuwa kwenye moment ya kusubiri. Kipindi cha kusubiri kina matumaini fulani ya kumpumbaza mtu kiasi kwamba hata anakuwa mzito kwa shughuli anayofanya au mchongo mwingine unaoelekea kukaa sawa, so wanaoitaka PDF kwa haraka nao wana maana nzuri tu tuwaheshimu.
 
Acha kuropoka husiyoyajua,mwaka 2020 deadline ilikuwa trh 04/10 na post zikatoka trh 27/11 ropoka tena
 
Dogo mmoja kodi yake iliisha tarehe
Moja this month amegoma kulipa maana amesema analipaga miezi sita, akilipa afu akapata itakuwa hasara kwake
 
Reactions: THT
U.shoga umewafanya vijana wengi waone maisha ni rahisi sana.
 
Mpaka bajeti ilipopitishwa hawa kujua hizo hesabu. Na mbona una haraka saana. Mwaka jana hizo ajira zilikaa muda gani baada ya maombi kutumwa.? Muda bado ila kuanzia wiki ya kesho tarehe 20 kwenda mbele watatoa majina ya waliopata. Msipotoshe watu.
 
Walimu hawajaelewei hasa tukianzia na wewe mleta uzi..kazi yenu ni kulialia na kutumia kisiasa tu...walimu mnashiriki kuitia laana hii nchi.


#MaendeleoHayanaChama
Unawatukana waalimu wakati hata kuandika tu huwezi. Huo mwandiko aisee kazi ipo. Much known afu ignorance mkubwa. Shit
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…