Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,719 Reaction score 60,636 Jun 24, 2026 Thread starter #2 Hapa yako mawindo
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,719 Reaction score 60,636 Jun 24, 2026 Thread starter #3 i need one like this kwaajili ya kufuga
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,788 Reaction score 113,025 Jun 24, 2026 #4 Sawa mkuu
Gunner11 JF-Expert Member Joined Nov 2, 2021 Posts 16,680 Reaction score 31,804 Jun 24, 2026 #5 Na huwa wanaanza kutafuna mbupu kwanza kama fisi..
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,705 Reaction score 104,843 Jun 24, 2026 #6 Hawawawezi CCM kwa ulafi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Jun 24, 2026 #7 Hatari sana
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,719 Reaction score 60,636 Jun 24, 2026 Thread starter #8 Moisemusajiografii said: Hawawawezi CCM kwa ulafi. Click to expand... 😁
M Mufti kuku The Infinity JF-Expert Member Joined Sep 21, 2019 Posts 7,310 Reaction score 13,098 Jun 24, 2026 #9 Wana uwezo wa kumuangusha Nyati? Sijawahi kuona. Labda awe mtoto. Nyati mkubwa aliyeshiba, Simba wenyewe huwa wanafikiria mara 2 kabla ya kumsogelea.
Wana uwezo wa kumuangusha Nyati? Sijawahi kuona. Labda awe mtoto. Nyati mkubwa aliyeshiba, Simba wenyewe huwa wanafikiria mara 2 kabla ya kumsogelea.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,316 Reaction score 871,876 Jun 24, 2026 #10 Your browser is not able to display this video.
R Rabboni JF-Expert Member Joined Apr 6, 2015 Posts 1,508 Reaction score 2,726 Jun 24, 2026 #11 Red black said: View attachment 3614478 Click to expand... nilifikiri una supportive evidence kumbe hakuna
Red black said: View attachment 3614478 Click to expand... nilifikiri una supportive evidence kumbe hakuna
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 62,832 Reaction score 77,037 Jun 24, 2026 #12 CCM Type
Isanga family JF-Expert Member Joined Feb 25, 2015 Posts 22,981 Reaction score 47,826 Jun 24, 2026 #13 Labda nyati mgonjwa hakuna nyati atashambuliwa na mbwa jina lingine wanaitwa Mbogo ni hatari kwa binadamu kuliko hata Simba..
Labda nyati mgonjwa hakuna nyati atashambuliwa na mbwa jina lingine wanaitwa Mbogo ni hatari kwa binadamu kuliko hata Simba..
let the caged bird sings JF-Expert Member Joined Sep 19, 2020 Posts 4,179 Reaction score 9,750 Jun 24, 2026 #14 Ndiyo predator pekee kiwango chao cha uwindaji kipo juu kuliko predators wengine wote. Simba wana 65/70 hawa wako 80 na zaidi kwenye Accuracy.
Ndiyo predator pekee kiwango chao cha uwindaji kipo juu kuliko predators wengine wote. Simba wana 65/70 hawa wako 80 na zaidi kwenye Accuracy.
Bwana Tony Cipriano JF-Expert Member Joined Nov 17, 2022 Posts 4,401 Reaction score 9,555 Jun 24, 2026 #15 Wanamla mnyama bila kumuua yaan ni chap chap wanamgombea atakufa mwenyewe wakati analiwa na hawabweki kama mbwa
Wanamla mnyama bila kumuua yaan ni chap chap wanamgombea atakufa mwenyewe wakati analiwa na hawabweki kama mbwa
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,719 Reaction score 60,636 Jun 24, 2026 Thread starter #16 Bwana Tony Cipriano said: Wanamla mnyama bila kumuua yaan ni chap chap wanamgombea atakufa mwenyewe wakati analiwa na hawabweki kama mbwa Click to expand... Sio powa Yani wanakula minofu chapu chapu
Bwana Tony Cipriano said: Wanamla mnyama bila kumuua yaan ni chap chap wanamgombea atakufa mwenyewe wakati analiwa na hawabweki kama mbwa Click to expand... Sio powa Yani wanakula minofu chapu chapu
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,719 Reaction score 60,636 Jun 24, 2026 Thread starter #17 let the caged bird sings said: Ndiyo predator pekee kiwango chao cha uwindaji kipo juu kuliko predators wengine wote. Simba wana 65/70 hawa wako 80 na zaidi kwenye Accuracy. Click to expand... Exactly
let the caged bird sings said: Ndiyo predator pekee kiwango chao cha uwindaji kipo juu kuliko predators wengine wote. Simba wana 65/70 hawa wako 80 na zaidi kwenye Accuracy. Click to expand... Exactly
Bwana Tony Cipriano JF-Expert Member Joined Nov 17, 2022 Posts 4,401 Reaction score 9,555 Jun 24, 2026 #18 Red black said: Sio powa Yani wanakula minofu chapu chapu Click to expand... hawana mbio lakini wana pumzi mnyama anakimbizwa mpaka mwenyewe anakubali yaishe.
Red black said: Sio powa Yani wanakula minofu chapu chapu Click to expand... hawana mbio lakini wana pumzi mnyama anakimbizwa mpaka mwenyewe anakubali yaishe.
Red black JF-Expert Member Joined Nov 29, 2019 Posts 18,719 Reaction score 60,636 Jun 24, 2026 Thread starter #19 Isanga family said: Labda nyati mgonjwa hakuna nyati atashambuliwa na mbwa jina lingine wanaitwa Mbogo ni hatari kwa binadamu kuliko hata Simba.. Click to expand... Angalia documentary zao vizuri
Isanga family said: Labda nyati mgonjwa hakuna nyati atashambuliwa na mbwa jina lingine wanaitwa Mbogo ni hatari kwa binadamu kuliko hata Simba.. Click to expand... Angalia documentary zao vizuri
Monetary doctor JF-Expert Member Joined Oct 20, 2022 Posts 14,350 Reaction score 27,420 Jun 24, 2026 #20 nyati huyu huyu mbogo 🤔