The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Kuna watu wakubwa tu tena sio under 18 huwa wanakuja na mada za ajabu, saa zingine tunaweza kuwa tuna confuse tunasema ni under 18 kumbe ni watu wazima na akili zao ndio wanaposti hizo thread ambazo unaweza kusema aliyeposti ni under 18 one of the reason kuna watu kupenda attention ili na yeye ajulikane kwenye Jukwaa la MMU.
Kuna mtu kwa siku anaweza kupost thread 5 au 6 lakini kati ya hizo zote hakuna hata moja yenye maana but amefanya hivyo for the sake ya kupata attention kama members wengine ndio hapo unakuta thread kama sijui Baba Mkwe namtamani, mara sijui mama mwenye nyumba ananitamani sijui demu wangu ananipiga mizinga nifanyeje na mambo mengi tu kama mtu hauna kitu cha maana kwanini uanzishe thread unaweza ukabaki kuwa mchangiaji tu, hata kama usipoanzisha thread still you will be recognized kwa post zako hapa MMU na JF kwa ujumla.
NI HAYO TU.