Hawa 'under 18' tuwafanyeje?

Hawa 'under 18' tuwafanyeje?

Kuna watu wakubwa tu tena sio under 18 huwa wanakuja na mada za ajabu, saa zingine tunaweza kuwa tuna confuse tunasema ni under 18 kumbe ni watu wazima na akili zao ndio wanaposti hizo thread ambazo unaweza kusema aliyeposti ni under 18 one of the reason kuna watu kupenda attention ili na yeye ajulikane kwenye Jukwaa la MMU.

Kuna mtu kwa siku anaweza kupost thread 5 au 6 lakini kati ya hizo zote hakuna hata moja yenye maana but amefanya hivyo for the sake ya kupata attention kama members wengine ndio hapo unakuta thread kama sijui Baba Mkwe namtamani, mara sijui mama mwenye nyumba ananitamani sijui demu wangu ananipiga mizinga nifanyeje na mambo mengi tu kama mtu hauna kitu cha maana kwanini uanzishe thread unaweza ukabaki kuwa mchangiaji tu, hata kama usipoanzisha thread still you will be recognized kwa post zako hapa MMU na JF kwa ujumla.

NI HAYO TU.
 
Kuna watu wakubwa tu tena sio under 18 huwa wanakuja na mada za ajabu, saa zingine tunaweza kuwa tuna confuse tunasema ni under 18 kumbe ni watu wazima na akili zao ndio wanaposti hizo thread ambazo unaweza kusema aliyeposti ni under 18 one of the reason kuna watu kupenda attention ili na yeye ajulikane kwenye Jukwaa la MMU.

Kuna mtu kwa siku anaweza kupost thread 5 au 6 lakini kati ya hizo zote hakuna hata moja yenye maana but amefanya hivyo for the sake ya kupata attention kama members wengine ndio hapo unakuta thread kama sijui Baba Mkwe namtamani, mara sijui mama mwenye nyumba ananitamani sijui demu wangu ananipiga mizinga nifanyeje na mambo mengi tu kama mtu hauna kitu cha maana kwanini uanzishe thread unaweza ukabaki kuwa mchangiaji tu, hata kama usioanzisha thread still you will be recognized kwa post zako hapa MMU na JF kwa ujumla.

NI HAYO TU.

I have been assuming that the term 'under 18' is just a symbolic presentation.......
Someone's keyboard input reflects his/her age (mentally)....
 
I have been assuming that the term 'under 18' is just a symbolic presentation.......
Someone's keyboard input reflects his/her age (mentally)....

The Following User Says Thank You to St. RR For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Wakuu wa jukwaa hili kuna hawa vijana wadogo anda 18 ambao wamevamia jukwaa hili miezi ya karibuni naona tuwaombe Mods wawafungulie jukwaa la watoto la sivyo hatutaelewana hapa,wenyewe kila kukicha demu wangu kafanya hivi,sijui shori kafanyaje mpaka kina dada wanakosa amani hapa.Mapendekezo mengine yanakaribishwa.
HIVI VITOTO VINABOA SANA MANAKE vinaleta mada za kirahisi za kijinga za kidhalilishaji,if posibo watolewe wapewe jukwaa lao MAPENZI DANGANYA TOTO, yaani vinalete mapenzi ya 1970.
 
kweli kabisa,au waandaliwe darasa la kuwafanyia counselling kwa njia moja au nyingine

wewe Joyce Paul,
unawapiga mkwala watoto wasipite huku,
hiyo avatar yako tu, inanionyesha kuwa wewe kweli ni mwalimu wa walimu!!!
 
I have been assuming that the term 'under 18' is just a symbolic presentation.......
Someone's keyboard input reflects his/her age (mentally)....

Good observation,................
 
HIVI VITOTO VINABOA SANA MANAKE vinaleta mada za kirahisi za kijinga za kidhalilishaji,if posibo watolewe wapewe jukwaa lao MAPENZI DANGANYA TOTO, yaani vinalete mapenzi ya 1970.

Umenichekesha mpaka basi Mapenzi danganya toto??
 
Back
Top Bottom