GE2025 Hawa vijana ni kama maeneo yao hayana changamoto kabisa, wamelambishwa asali au wanajisahau?

GE2025 Hawa vijana ni kama maeneo yao hayana changamoto kabisa, wamelambishwa asali au wanajisahau?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

upupu255

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2024
Posts
418
Reaction score
550
Ukiwaangalia harakaharaka hawa vijana ni kama wameonjeshwa maji wakiwa jangwani halafu wakasahau kuhusu ukame wa maji kwenye jangwa walilopo na kugeuka kumsifia aliyewaonjesha badala ya kutaka suluhu itakayowakomboa wanabaki kuwa watumwa.

Fursa kama hizi wanazozipata kwenye media ni nafasi nzuri ya kueleza matatizo na changamoto ambazo wagombea wanapopita wanapaswa kuzitambua ili baadaye zifanyiwe kazi.

Kama sisi wenyewe hatujisemei tunabakia kusifia nani mwingine atakuja atusemee? kwenye majukwaa yao wakiomba kura hutasikisia wakieleza changamoto halisi za wananchi, inatubidi tuzisime wasikie hata kama hawataki.

 
Wameamua kujitoa ufahamu makusidi bila kujali kesho ya watoto na familia zao.
 
Vijana waleo wangekuepo kipindi cha Nyerere mpaka Sasa wakoloni wangekuepo
 
Back
Top Bottom