Samahani ni nedy yupi huyoBeat za Ali Kiba ni zile zile hazibadiliki alafu haziendani na mahitaji ya Sasa, video iko na ubora mzuri tatizo sauti za vijana wa KINGS MUSIC zimefanana na Ali Kiba mwenyewe kwaiyo kwa mtu aliye nje ya nchi anaweza akajua ni Kiba ndio kaimba mwanzo mwisho.
Tumshabikie mtu lakini tumwambie ukweli asije akaamini yupo sawa kumbe anapotea, Kwenye hiyo LEBO mtu mwenye utofauti ni Nedy Music Peke yake
Kabisa .. Mimi nimewaambia hivi wadau" hizo beats anazotumia Ali K ni za mtindo ulipitwa Sana ".... hazitomsaidia chochote ..hao vijana ndio kichefu chefu kabisa wana chojua nikujikamua kamua tu lakini Melody 0Beat za Ali Kiba ni zile zile hazibadiliki alafu haziendani na mahitaji ya Sasa, video iko na ubora mzuri tatizo sauti za vijana wa KINGS MUSIC zimefanana na Ali Kiba mwenyewe kwaiyo kwa mtu aliye nje ya nchi anaweza akajua ni Kiba ndio kaimba mwanzo mwisho.
Tumshabikie mtu lakini tumwambie ukweli asije akaamini yupo sawa kumbe anapotea, Kwenye hiyo LEBO mtu mwenye utofauti ni Nedy Music Peke yake
Hahaa nyimbo mbovu Sana ***** " Ali k kwisha habari" yake ".... Hivi hayupo humu nimtag ... linyimbo bovu mnoo ..sijui kakosa washauri !!! Au na yeye hashauriki kama jiwe !..Hakuna kitu hapa nyimbo mbovu tu
Wakuu tusimkatishe tamaa King.. Tunamuhitaji sana kwa game muda huu..Mimi team kiba " lakini nasema kwamba nyimbo mbovu ".... na hao majamaa uimbaji wao ni wakawaida tu
Mbona Ali hajaimba humo...Hahaa nyimbo mbovu Sana ***** " Ali k kwisha habari" yake ".... Hivi hayupo humu nimtag ... linyimbo bovu mnoo ..sijui kakosa washauri !!! Au na yeye hashauriki kama jiwe !..
Hapo najua pm kwako washajaaAhahaa mkuu mimi nampenda sana Ali k ... ila ananiangusha mnoo".... so nachokifanya ni kuusimamia ukweli hata kama una uma ".... Domo kamzidi vitu vingi sana Ali k " haswaa inapokuja katika suala la ku-target soko la walaji wa upishi wao
Sauti Kama wako kwenye mtungi mmmmm acha kupotosha ummaHakika Kiba umewapika wakapikika hawa vijana...
Nawaona hawa madogo wakifika mbali...
Tunamuhitaji!!!mzeee over 35+Wakuu tusimkatishe tamaa King.. Tunamuhitaji sana kwa game muda huu..
Hana jipya king kiba,,,Hakika Kiba umewapika wakapikika hawa vijana...
Nawaona hawa madogo wakifika mbali...
Umepanic chief " hata kama hajaimba " lakini yeye ndiye msimamizi wa hilo " wa hilo kundi so anapaswa " kuhakikisha " kazi inafanyika nzuriMbona Ali hajaimba humo...
Alafu kama unashangilia... hata ikiwa ni kwisha habari yake, unafaidika nn?
Hatumkatishi " Tamaa " .... ila tuna mshauri tu " mtu anaye kushauri " Jambo anakutakia ustawi mzuri wa maendeleo yako "Wakuu tusimkatishe tamaa King.. Tunamuhitaji sana kwa game muda huu..
kweli mkuu this kind of love ya pato ni balaa... na kuna ile ya skales booty language..Kuimba sio kujua kuiremba sauti tu"... ni Melody kali yenye mchanganyiko wa sauti nzuri inayoamsha mpaka hisia uandishi " mzuri "unaogusa hisia pia ' na product nzuri toka kwa producer ... hapa kwenye product ndio kiungo nyeti haswaa " kwa sababu mpangilio wa vyombo vya music ukiwa mzuri huwa inamfanya msikilizaji achanganyikiwe ".... jaribu kusikiliza nyimbo ya lucky dube back to my roots mtaelewa nacho kiongea" Au kwa sasa jaribuni kusikiliza wimbo za patoranking " different na this kind love"..... kwa tz kuna ule wimbo wa harmonies Dm chick ..
Hatari sana " mkuu watu wanajua kufanya mastering aiseekweli mkuu this kind of love ya pato ni balaa... na kuna ile ya skales booty language..
Kumbe nedy huko afrimma alichukua tuzo??Samahani ni nedy yupi huyo
Au ni huyu aliechukua tuzo nae yuko king's music
Yeah alichukua " tuzo ya msanii anayependwa africa mashariki I think (kama nimekosea wajuzi watanisahihisha)Kumbe nedy huko afrimma alichukua tuzo??