The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 2,471
- 3,768
Sijui ni mafundisho ya dini au ni namna tu ya kujibwwteka nakerwa sana na huu utaratibu wa vijana wa umri mdogo wanaopita mitaani wanapiga vigoma na kuomba hela na ni bahati mbaya watoa hela nao hutoa vimiamia tu.
Kwa hiyo unakuta mle kwenye sinia ama ungo kuna vimiamia vingi kweli.
Kwa mtazamo wangu hili fundisho linawajengea vijana wetu kukosa AIBU ya kuombaomba jambo ambalo ni AIBU.
Kwa hiyo unakuta mle kwenye sinia ama ungo kuna vimiamia vingi kweli.
Kwa mtazamo wangu hili fundisho linawajengea vijana wetu kukosa AIBU ya kuombaomba jambo ambalo ni AIBU.