Hawa vijana wetu wa Bavicha mbona wanapenda kupiga dili sana? Kama kitabu kinamhusu kamanda Mawazo kwa nini hela zisiingie akaunti ya chama?

Hawa vijana wetu wa Bavicha mbona wanapenda kupiga dili sana? Kama kitabu kinamhusu kamanda Mawazo kwa nini hela zisiingie akaunti ya chama?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Screenshot_20211229-150111.png
 
Sasa hela za mambo binafsi ya watu ziingie kwenye akaunti ya chama kufanya nn? au huko CCM mishahara na posho za samia huwa zinaingia kwenye akaunti lumumba?
Hii ni ishu binafsi? Mama yake marehemu mmemtoa kidogo?
 
Nivizuri kwa mlicho kifanya..ila tengeni asilimia kadhaa za mauzo ya hicho kitabu kusaidia famila yake..hususani mamaake na mwanae..mkewe najua keshaolewa sasa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hii ni ishu binafsi? Mama yake marehemu mmemtoa kidogo?

Kwanini marehemu hakuandika kitabu kisha aingize hela kwenye account ya chama? Waliokiandika sasa wameamua utaratibu uwe huo. Au kama vipi, andika kitabu cha Mawazo ww, kisha pesa iingie kwenye aacount ya mke wa Mawazo. Hapo utakuwa umewaumbua vizuri hao vijana wa CDM.
 
Hili ni suala la familia binafsi ya Mawazo.

Je kuna percentage yoyote itakayokwenda kusaidia familia yake ili watoto wasome.?
 
Kwanini marehemu hakuandika kitabu kisha aingize hela kwenye account ya chama? Waliokiandika sasa wameamua utaratibu uwe huo. Au kama vipi, andika kitabu cha Mawazo ww, kisha pesa iingie kwenye aacount ya mke wa Mawazo. Hapo utakuwa umewaumbua vizuri hao vijana wa CDM.
Acha kubwabwaja pumba.
 
Back
Top Bottom