Hawa wafuasi wa Lissu na CHADEMA vipi?

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Inasemwa kuwa hii picha ni ya leo huko nchini Ubelgiji.



Bwana Tundu Lissu alikuwa akiagana na Watanzania waishio huko. In

Kisiasa Tanzania, watu kama akina Lissu, CHADEMA, na wafuasi wao wengine ndo wanaonekana, au labda niseme wanapenda kuonekana wako ‘woke’.

Kama hujui maana ya ‘woke’, ingia Google.

Sasa, ina maana hawa jamaa nao hawaiogopi Corona?

Maana hapo hakuna cha social distancing. Hakuna mwenye barakoa.

Yaani kwa ujumla sioni tahadhari yoyote ile.

Labda huenda Lissu na hao wafuasi wake nao wanakubaliana na Rais Magufuli ikija kwenye suala la Corona 😄😄
 
Haaah ebwana kweli....hawajavaa barakoa wala hakuna social na physical distancing hapo...!! MAGU OYEEEEE..! Wanamkubali
 
😂😂😂😂😂
 
Akilizi za kuambiwa na kuona changanya na za kwako.... Je kama hiyo picha ni ya zamani?
 
umechunguza kitu ambacho kimewaudhi watu,picha ishaharibika ladha yake
 
Kwa umri wako na pesa za Kodi zetu enzi za kusoma kwako unaona akili yako inakua au imetopea kwenye utopian??
 

Social distancing imekuwa relaxed: "You can throw a party in a reception or function room or at your home with a professional caterer. This is allowed with a maximum of 50 persons (including your own family)".
source: Current measures | Coronavirus COVID-19
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…