Hawa wafuasi wa Lissu na CHADEMA vipi?

Hawa wafuasi wa Lissu na CHADEMA vipi?

Kuna lile jina tulikuwa tunalitumia kuwatambulisha wafuasi wa CDM ila kwa sasa sitalitumia
 
Inasemwa kuwa hii picha ni ya leo huko nchini Ubelgiji.

View attachment 1516592

Bwana Tundu Lissu alikuwa akiagana na Watanzania waishio huko. In

Kisiasa Tanzania, watu kama akina Lissu, CHADEMA, na wafuasi wao wengine ndo wanaonekana, au labda niseme wanapenda kuonekana wako ‘woke’.

Kama hujui maana ya ‘woke’, ingia Google.

Sasa, ina maana hawa jamaa nao hawaiogopi Corona?

Maana hapo hakuna cha social distancing. Hakuna mwenye barakoa.

Yaani kwa ujumla sioni tahadhari yoyote ile.

Labda huenda Lissu na hao wafuasi wake nao wanakubaliana na Rais Magufuli ikija kwenye suala la Corona 😄😄

Hoja yako ni nini hapa we dogo? Nenda msibani kada wa ccm kaaga dunia.
 
Mbona hueleweki? Wakivaa unaanza kuhubiri kuwa Corona hakuna, wasipovaa na wenyewe inakua nongwa!! Dah binadamu shida

Kwani huko ni tanzania?
Hao kila siku wanalazimisha tanzania kuna corona, alafu wao hawavai barakoa.
 
kwani lissu anapinga mapenzi ya jinsia moja...mbona unamchukia sana?
 
Inasemwa kuwa hii picha ni ya leo huko nchini Ubelgiji.

View attachment 1516592

Bwana Tundu Lissu alikuwa akiagana na Watanzania waishio huko. In

Kisiasa Tanzania, watu kama akina Lissu, CHADEMA, na wafuasi wao wengine ndo wanaonekana, au labda niseme wanapenda kuonekana wako ‘woke’.

Kama hujui maana ya ‘woke’, ingia Google.

Sasa, ina maana hawa jamaa nao hawaiogopi Corona?

Maana hapo hakuna cha social distancing. Hakuna mwenye barakoa.

Yaani kwa ujumla sioni tahadhari yoyote ile.

Labda huenda Lissu na hao wafuasi wake nao wanakubaliana na Rais Magufuli ikija kwenye suala la Corona 😄😄
Kazike huko!
 
Kuna watu wanashuka viwango hadi wanatia huruma. Kwa kiwango hiki hata Facebook huna nafasi.
 
Wamekwisha mtayarishia shoga akitua uwanja wa ndege?
 
Inasemwa kuwa hii picha ni ya leo huko nchini Ubelgiji.

View attachment 1516592

Bwana Tundu Lissu alikuwa akiagana na Watanzania waishio huko. In

Kisiasa Tanzania, watu kama akina Lissu, CHADEMA, na wafuasi wao wengine ndo wanaonekana, au labda niseme wanapenda kuonekana wako ‘woke’.

Kama hujui maana ya ‘woke’, ingia Google.

Sasa, ina maana hawa jamaa nao hawaiogopi Corona?

Maana hapo hakuna cha social distancing. Hakuna mwenye barakoa.

Yaani kwa ujumla sioni tahadhari yoyote ile.

Labda huenda Lissu na hao wafuasi wake nao wanakubaliana na Rais Magufuli ikija kwenye suala la Corona [emoji1][emoji1]
Mkuu Nyani Ngabu, with due respect to you, hivi unaliona hili tukio la ujio wa Tundu Lissu nchini ndilo pekee lenye "direct exposure with the threat of COVID-19 pandemic disease"? Hivi kweli huoni tahadhari inayopaswa kuchukuliwa ktk mihadhara mingine kwa nyakati kama hizi hapa nchini?

Hivi kweli hukuona tishio lolote la gonjwa hili ktk mikusanyiko mingine inayoendelea hapa nchini kama, ule wa ndani ya Mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika hivi karibuni? Viwanja vya mipira ambavyo vilijazana washabiki wa kiutopolo wa Simba S.C baada kuatawazwa kuwa mabingwa hapa nchini? Milundaniko ya waaumini ktk nyumba za ibada? Mapokezi makubwa ya watia nia ktk kinyang'anyiro cha uraisi wa JMT na kule Zanzibar? n.k.
 
Naona 1] hujanielewa na [2]huwa hunisomi vizuri na ukakielewa nilichokiandika na [3] huwa hunisomi mara kwa mara.

Nasema hivyo kwa sababu, wanaonisoma mara kwa mara na kuelewa ni kiandikwacho, wamenielewa.

Pole kwa kushindwa kunielewa.
 
Nimekuwa najiuliza maswali mengi sana juu ya hii picha, ingekuwa ni hapa bongo ningesema tumesha kubali corona hakuna ndio mana tunajichanganya tu. Sasa na huku si ndiko kwenye corona original sasa imekuwaje hawa watu wajiachie kiasi hiki?
Tuache kudanganyana hii picha sio ya leo hii.
 
Back
Top Bottom