Hawa wafuasi wa Lissu na CHADEMA vipi?

Hawa wafuasi wa Lissu na CHADEMA vipi?

Mkuu Nyani Ngabu, with due respect to you, hivi unaliona hili tukio la ujio wa Tundu Lissu nchini ndilo pekee lenye "direct exposure with the threat of COVID-19 pandemic disease"? Hivi kweli huoni tahadhari inayopaswa kuchukuliwa ktk mihadhara mingine kwa nyakati kama hizi hapa nchini?

Hivi kweli hukuona tishio lolote la gonjwa hili ktk mikusanyiko mingine inayoendelea hapa nchini kama, ule wa ndani ya Mkutano Mkuu wa CCM uliofanyika hivi karibuni? Viwanja vya mipira ambavyo vilijazana washabiki wa kiutopolo wa Simba S.C baada kuatawazwa kuwa mabingwa hapa nchini? Milundaniko ya waaumini ktk nyumba za ibada? Mapokezi makubwa ya watia nia ktk kinyang'anyiro cha uraisi wa JMT na kule Zanzibar? n.k.
Huyu Nyani ngabu nilishamdharau kitambo.Sijui nchi hii tuna mkosi gani wenzetu diaspora no watu wenye sound reasoning na exposure kwenye mambo ya maana kuzisaidia nchi zao sisi kwetu diaspora ni watu aina ya Nyani ngabu. Very very sad.
 
Kabisa unajiuliza maswali?? Hapo cha ajabu nini? Hukuona maandamano ya black lives matter?? Uliona social distancing yoyote kwenye yale maandamano? Au nayo yalifanyika TZ?
Nimekuwa najiuliza maswali mengi sana juu ya hii picha, ingekuwa ni hapa bongo ningesema tumesha kubali corona hakuna ndio mana tunajichanganya tu. Sasa na huku si ndiko kwenye corona original sasa imekuwaje hawa watu wajiachie kiasi hiki?
Tuache kudanganyana hii picha sio ya leo hii.
 
Kabisa unajiuliza maswali?? Hapo cha ajabu nini? Hukuona maandamano ya black lives matter?? Uliona social distancing yoyote kwenye yale maandamano? Au nayo yalifanyika TZ?
Sasa kama ni hivo kwanini wanakesha kutusema Tanzania hatuchukui hatua sahihi kupambana na Corona? Kama ni hivyo wanyamaze watuache tuishi tunavyotaka wenyewe.
Na ukitaka kujua jinsi alivyo mnafiki huyu Lissu ngoja uone atakapokuja kama hato shuka na barakoa, wakati huko kwenye mamia ya vifo anajiachia namna hiyo.

Narudia tena hii picha sio ya leo tusidanganyane hapa.
 
Back
Top Bottom