Hawa wafuasi wa Lissu na CHADEMA vipi?

Huyu Nyani ngabu nilishamdharau kitambo.Sijui nchi hii tuna mkosi gani wenzetu diaspora no watu wenye sound reasoning na exposure kwenye mambo ya maana kuzisaidia nchi zao sisi kwetu diaspora ni watu aina ya Nyani ngabu. Very very sad.
 
Kabisa unajiuliza maswali?? Hapo cha ajabu nini? Hukuona maandamano ya black lives matter?? Uliona social distancing yoyote kwenye yale maandamano? Au nayo yalifanyika TZ?
 
Kabisa unajiuliza maswali?? Hapo cha ajabu nini? Hukuona maandamano ya black lives matter?? Uliona social distancing yoyote kwenye yale maandamano? Au nayo yalifanyika TZ?
Ahsante.
 
Kabisa unajiuliza maswali?? Hapo cha ajabu nini? Hukuona maandamano ya black lives matter?? Uliona social distancing yoyote kwenye yale maandamano? Au nayo yalifanyika TZ?
Sasa kama ni hivo kwanini wanakesha kutusema Tanzania hatuchukui hatua sahihi kupambana na Corona? Kama ni hivyo wanyamaze watuache tuishi tunavyotaka wenyewe.
Na ukitaka kujua jinsi alivyo mnafiki huyu Lissu ngoja uone atakapokuja kama hato shuka na barakoa, wakati huko kwenye mamia ya vifo anajiachia namna hiyo.

Narudia tena hii picha sio ya leo tusidanganyane hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…