Hawa Waganga Njaa wanaoishi kwa majungu aliowasema Kikwete siyo Chadema kweli?

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo

Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi kwa majungu.

Ndio najiuliza hawa waganga njaa ndio wale wale jamaa zetu Chadema wa Ufipa st?

RIP Magufuli!
 
Kwa jinsi ulivyoandika unaonekana kabisa ni mganga njaa.
 
Kuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo

Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi kwa majungu.

Ndio najiuliza hawa waganga njaa ndio wale wale jamaa zetu Chadema wa Ufipa st?

RIP Magufuli!
Hao ni bashiru,polepole,ndugai,doto james,kabudi,jafo wakisindikizwa na waganga njaa sugu wa jf troll,motochini,johnthebaptist,kawe,magonjwa mtambuka,mama D .....yani mtakula hadi mawe kwa njaa inayokuja,wajinga wote wa hayati tupa kule
 
Kuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo

Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi kwa majungu.

Ndio najiuliza hawa waganga njaa ndio wale wale jamaa zetu Chadema wa Ufipa st?

RIP Magufuli!
Usiwasingizie CHADEMA

Hayo yanasemwa na wana CCM wenyewe

Na leo wana CCM wanasema kwamba aliyoyasema JK angeliyasema pindi JPM akiwa hai, au BWM

Kiongozi pekee anayejulikana kwa kuwa na mahaba yaliyopitiliza kwa JPM ni mzee Mwinyi

Mzee Mwinyi hakusubiri JPM afe ndo amu-acknolodge

Kila alipopata nafasi alikuwa muwazi kusema mwenzetu anafanya mambo yaliyo tushinda wote tuliopita
 
Kuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo

Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi kwa majungu.

Ndio najiuliza hawa waganga njaa ndio wale wale jamaa zetu Chadema wa Ufipa st?

RIP Magufuli!
Majibu yako amekupatia @twenty4seven
 
Kuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo

Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi kwa majungu.

Ndio najiuliza hawa waganga njaa ndio wale wale jamaa zetu Chadema wa Ufipa st?

RIP Magufuli!
Huenda aliyekuwa akisemwa ni Mzee Mgaya maana yule mzee kwa fix na majungu ni hatari. Hivi mzee Mgaya huwa ana utani na JK?
 
Kuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo

Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi kwa majungu.

Ndio najiuliza hawa waganga njaa ndio wale wale jamaa zetu Chadema wa Ufipa st?

RIP Magufuli!
Ni chadema na zito
 
Back
Top Bottom