Mkalimani wa Ikulu
Member
- Mar 25, 2021
- 23
- 17
kama mnajaribu kuhamisha magori hivi ??? Alisemaga kama ccm haitavurugika saizi bas haita vurugika tena naona huu nimda mwafaka mnasengenyana sana Siri zaikulu ziko hadharani mnaenjoy tu hamna waswasKuna wakati Rais mstaafu Kikwete aliwahi kusema Chadema kuna kiwanda cha kutengeneza uongo
Leo Kikwete kasema wanaozusha kwamba yeye alikuwa hamkubali hayati Magufuli ni Waganga njaa wanaoishi kwa majungu.
Ndio najiuliza hawa waganga njaa ndio wale wale jamaa zetu Chadema wa Ufipa st?
RIP Magufuli!