Hawa Waganga Njaa wanaoishi kwa majungu aliowasema Kikwete siyo Chadema kweli?

kama mnajaribu kuhamisha magori hivi ??? Alisemaga kama ccm haitavurugika saizi bas haita vurugika tena naona huu nimda mwafaka mnasengenyana sana Siri zaikulu ziko hadharani mnaenjoy tu hamna waswas
 
Watakua hukohuko Lumumba ambako Kuna team kibao za kiutopolo za waganga njaa.
 
Wanajiuliza watawezaje kuishi mjini bila kuuza maneno ya fitina ili kujipatia ridhiki yao kama walivyo zoea.
Halafu eti unawasikia katika maandiko yao "fitina kwangu mwiko" huku wamekinga sahani zao kwenye "majungu ya fitina!!"
UNAFIKI HAUJAWAHI WAACHA WANAFIKI SALAMA...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…