Nyimbo za siku hizi ni biashara kuliko kuabudu.Hzo nyimbo hunikumbusha utotoni hazichoshi kuimba na kusikiliza, kwaya ya mamajusi, kijitonyama, wale walioimba mwana mpotevu, nyimbo za zamani zilikua na upako sana, za sasa nyingi magumashi matupu.
Mkuu hapo ushamba wako wa kiroho jamaa yangu. Hujawahi sikia boringo/mziki wa dance, rap na rage?? Labda taarabugospo mimi ndiyo sijasikia.Mungu naomba unisamehe ilaa hawa wasanii wawili wa gospel kwakweli kila nikiwangaliaa huwaa siwamalizi na mapozi yao. Yani lips wanapaka lipshine na wanavyozipandishaa hizo nyusi kwenye picha zao yaani wanarembuaa mpaka wanapitiliza.
Wasanii wenyewe ni Gosbert wa 'ipo siku' na Paul Clement wa 'amenifanyia amani'. Yaani mapoz yao siyaelewi kwakweli ila nyimbo zao zinanibariki sana.
Kabisaaa.Hyo kwaya kiboko ukisikiliza unaguswa kabisa moyoni.
mkuu shukrani sana, napenda sana old school choir!Barabara ya 13
Naupenda Sana wimbo wa Samsoni , palikiwa na mtu pamoja na katikati viumbe vyote vilivyoubwa binadamu kaumbika kuliko vyote.
Hiyo Shangilieni imo youtube?Hahaha...why not Rose Muhando?
Mimi katika nyimbo za Gospel zinazonibariki ni
Kwanza kwaya karibu zote za zamani. Hasahasa miaka ya 90-99 kama za Arusha mjini na Shangilieni. daaah
Pili, nyimbo za baadhi ya waimbaji wachache sana kama Christina Shusho, Abihudi Misholi, Ephraim Mwansasu na Bahati bukuku.
Lastly, ni nyimbo zote za kuabudu.
Mi hata kununua siwezi kabisa maana wengi hawajui walitendalo, waimbaji wakike huko ndani na style zao sasa au kujipaka wanja ka shangingi, mi bora niendelee kusikiliza wana Bulyankulu barabara ya kumi na Tatu.Nyimbo za siku hizi ni biashara kuliko kuabudu.
Wanarudia mstaria mmoja mara mia ili wimbo ukolezee wauze.
Sintokaa nizinunue mi bado na selection yangu ya kwaya za zamani mama alinipa. Na bado zipo kwenye kanda.
we jamaa mchokozi sana aiseee.....[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kuna Mwingine anaitwa Harris Kapinga, nadhani naye ni mdau wa Gospo, na yule SAM MAHELA, pia .View attachment 436178 View attachment 436179
Umenikumbusha Mbali Sana!Hahaha mkuu nimekulia kwenye familia moja hivi acha tu mshua alikuwa na interests kibao anapenda Gospel ,country songs ,anasikiliza Reggae anapenda sana wanyama na pia alikuwa anapenda Movies
Missing in action ya chuck noris naangalia na mshua niko na miaka mitano sijui
Hivyo kwa kweli nashukuru nilikuwa exposed kwenye vitu vingi katika umri mdogo
Holly Chross Choir nilipenda ile nyimbo ya Lizwi kwa sababu ya yule dada ,anaimba kwa pozi fulani hivi basi nikawa namuita mchumba si unajua mambo ya utoto tena
Kuna ule wimbo...Sijawahi kuchoka kisikiliza kwaya ya Tumaini-Shangilieni, naweza kuingia You tube hata siku nzima nasikiliza tu nyimbo zao.
Nawapenda sana pia walinilea kwani karibu waimbaji wote pale walinifahamu tangu nikiwa mdogo.
Aaah km ni uungu na c MUNGU hapo ni sawa...Wivu wa kike huu.
Paul Clement ni producer wa mda mrefu hata kabla Jux hajajua kama kuna mziki, 2007 ndiye aliyemuandali John Lissu albam ya Yu hai Jehova!
Pia ni muandaaji wa nyimbo za Christina Shushu ,Kilahilo etc!
Mungu wa Israel anaangilia Moyo na si kama wewe mtu wa dini ufanyavyo!
Pole sana,Ukiokoka utajua mambo ya Uungu!
Mkuu,kama vipi tuanzishe uzi ambao utabeba old school zote!toka lulu,barabara 13,j sisters,et al!Mkuu kuna hii kwaya inaitwa Kilimanjaro kwaya (kutubu dhambi na kuziacha )
Ningeomba ingia YouTube usikilize.
Katika kwaya zote nilizosikiza na mama yangu hii iko juu ya yote .
Zibadilishe ziweke kwenye CD format...Nyimbo za siku hizi ni biashara kuliko kuabudu.
Wanarudia mstaria mmoja mara mia ili wimbo ukolezee wauze.
Sintokaa nizinunue mi bado na selection yangu ya kwaya za zamani mama alinipa. Na bado zipo kwenye kanda.
HahahaaaaKuna ule wimbo...
"jamani shangwe, shangwe tushangile, simba wa Yuda kaaja kwa unyonge..."
Huo wimbo naweza sikiliza hata mara mia...
Ni shida iliyosahaulika...Hahahaaaa
Aaah leo watu mna nikumbusha mbali kishenzi
Shangilie hawa ndio walijuwa wanaimba gospel walikuwa fire kwel kweli.
Wimbo wa mwana mpotevu
hatariii aah! Old z gold
Kwanini,tusianzishe uzi na ukawa steaky,halafu tukatupia Old School za Gospels?mie Mjomba Angu Niliyekulia Kwake Mpaka Leo Anayo Makasha ya Old Schools!Nikipata Muda Nitazipiga Picha na Kuzitupia Humu!Kuna ule wimbo...
"jamani shangwe, shangwe tushangile, simba wa Yuda kaaja kwa unyonge..."
Huo wimbo naweza sikiliza hata mara mia...
Hapa umenikumbusha mama, halfu enzi hizo tuna kaseti bhana, anasikiliza huku ana pika hahaha!!Barabara ya 13
Naupenda Sana wimbo wa Samsoni , palikiwa na mtu pamoja na katikati viumbe vyote vilivyoubwa binadamu kaumbika kuliko vyote.
Umeongea point...Kwanini,tusianzishe uzi na ukawa steaky,halafu tukatupia Old School za Gospels?mie Mjomba Angu Niliyekulia Kwake Mpaka Leo Anayo Makasha ya Old Schools!Nikipata Muda Nitazipiga Picha na Kuzitupia Humu!
Mkuu,ebu uanzishe halafu ututag memba wote tuliochangia humu,nasi tutawatag wengine...plz?Umeongea point...
Kuna mjitu kama Faizafoxy ikion huo uzi atasababishwa ufungiwe