Uinjilisti na uchungaji ni huduma mbili tofauti.Ukristo una huduma tano.Nakubaliana na wewe!!
Nijuavyo Uinjilisti ni hatua ya kupanda kwenda kwenye uchungaji!!,hawa mafunzo yao yote wanatakiwa wajifunzie Makanisani na sio kwenye daladala !!
Mimi nilichokuwa nashauli wasitutoze sadakaKwanza nikiri Kabisa Mimi ni Mkristo Kabisa!
Umetokea mtindo wa baadhi ya Wainjilisti kutoa mahubiri kwenye Daladala kila Siku, sasa ninachokijua ni kuwa sisi wakristo Kuna sehemu mahususi kwa ajili ya mahubiri na Mambo mengine ambayo yanaambatana na Mambo ya kidini, Makanisani na Kwenye Jumuia ambazo ni sehemu sahihi ya kuelimishana kwa Mambo yote ya kidini.
Sasa, nakwazika na sio kwa ubaya na hawa Wainjilisti wanaohubiri Kwenye daladala, na je ikitokea dini nyingine wakaja na utaratibu huu huu wa kutoa mahuburi kwenye vyombo vya usafiri wa umma itakuwaje?
Nawaombeni, watumishi wa Mungu mtumie Nguvu nyingi kwenye makanisa yenu, Jumuia na kwenye makongamano ndio sehemu sahihi.
Mimi hua wakianza makelele yao naweka head phones naweka mzikiwangu wa kisukuma kwa sauti ya juu sana.
Kutoa maoni yako hakupaswi kuwa usumbufu wa kimazingira kwa wengineWako sahihi!
Wanatumia uhuru wa kutoa maoni!
MAHUBIRI yao ni maoni kuhusu nguvu ya uungu maishani mwetu!
Mwenye dalaladala huwa hapandi dalaladala, inatakiwa wazuiwe na abiria.Uhuru wa kueneza dini upo kikatiba. Waache watu, kama ni kero wenye daladala watawazuia.
Wenye daladala namaanisha konda na dereva.Mwenye dalaladala huwa hapandi dalaladala, inatakiwa wazuiwe na abiria.
Mind setMimi hua wakianza makelele yao naweka head phones naweka mzikiwangu wa kisukuma kwa sauti ya juu sana.
HOJA YANGU
Mkuu Ushimen ukiwa umebakiwa na dakika chache kabla ye kwenda mbele ya haki, utawatafuta hao Wahubiri kwa simu na watakuwa hawapatikani.
Hivi Hadi kwenye ndege wanaruhusiwa?Injili itapigwa popote tu,kikubwa hawavunji sheria
Kwahiyo Yesu aliwapa maelekezo ya kufanya mahubiri mpaka kwenye daladala sio? hii ni kero hakuna cha maelekezo, ata hivyo hayo yalikuwa maelekezo kwa wanafunzi wa Yesu sio hawa wachumia tumbo.Yesu hakusema mahubiri yafanywe ndani ya Kanisa pekee...
Hata hivyo siyo Wakristo pekee, Labda hujakutana tu na wengine.
Marko 16:15
Akawaambia, Enendeni ulimwenguni mwote, mkaihubiri Injili kwa kila kiumbe.
Kwanza nikiri Kabisa Mimi ni Mkristo Kabisa!
Umetokea mtindo wa baadhi ya Wainjilisti kutoa mahubiri kwenye Daladala kila Siku, sasa ninachokijua ni kuwa sisi wakristo Kuna sehemu mahususi kwa ajili ya mahubiri na Mambo mengine ambayo yanaambatana na Mambo ya kidini, Makanisani na Kwenye Jumuia ambazo ni sehemu sahihi ya kuelimishana kwa Mambo yote ya kidini.
Sasa, nakwazika na sio kwa ubaya na hawa Wainjilisti wanaohubiri Kwenye daladala, na je ikitokea dini nyingine wakaja na utaratibu huu huu wa kutoa mahuburi kwenye vyombo vya usafiri wa umma itakuwaje?
Nawaombeni, watumishi wa Mungu mtumie Nguvu nyingi kwenye makanisa yenu, Jumuia na kwenye makongamano ndio sehemu sahihi.
Daladala zilikuwepo enzi za Yesu, Hebu kuwa makini hata kidogoKwahiyo Yesu aliwapa maelekezo ya kufanya mahubiri mpaka kwenye daladala sio?
Uinjilisti sio daraja la kwenda uchungaji ni huduma inayojitegemeaNakubaliana na wewe!!
Nijuavyo Uinjilisti ni hatua ya kupanda kwenda kwenye uchungaji!!,hawa mafunzo yao yote wanatakiwa wajifunzie Makanisani na sio kwenye daladala !!
Unafiki mtupu. Walokole wengi wamekuwa matapeli kupitiliza. Wanaofuata misingi ya ulokole ni wachache sana.Wengine hawana nafasi ya kuingia nyumba za Ibada japo wanatamani hivyo wanapata neno la uzima.
Ndio nauliza wao kufanya hivyo wana maana gani? concern yangu hapa sio kujua nini kilikuepo lini na kwanini, nachotaka kusema hapa, kwanini ni wapumbavu kiasi hiki mpaka hawajui ni wapi wafanye hayo mahubiri yao?.Daladala sio sehemu ya kufanyia injili otherwise kuna Yesu mwingine alikupa hayo maelekezo.Daladala zilikuwepo enzi za Yesu, Hebu kuwa makini hata kidogo
Tofautisha wainjilisti na wachungaji mkuuKwanza nikiri Kabisa Mimi ni Mkristo Kabisa!
Umetokea mtindo wa baadhi ya Wainjilisti kutoa mahubiri kwenye Daladala kila Siku, sasa ninachokijua ni kuwa sisi wakristo Kuna sehemu mahususi kwa ajili ya mahubiri na Mambo mengine ambayo yanaambatana na Mambo ya kidini, Makanisani na Kwenye Jumuia ambazo ni sehemu sahihi ya kuelimishana kwa Mambo yote ya kidini.
Sasa, nakwazika na sio kwa ubaya na hawa Wainjilisti wanaohubiri Kwenye daladala, na je ikitokea dini nyingine wakaja na utaratibu huu huu wa kutoa mahuburi kwenye vyombo vya usafiri wa umma itakuwaje?
Nawaombeni, watumishi wa Mungu mtumie Nguvu nyingi kwenye makanisa yenu, Jumuia na kwenye makongamano ndio sehemu sahihi.
Hata ukinunua gari yako utahubiriwa tu ili mapepo yakutoke na utubu ilii uurithi ufalme wa MunguDaladala sio sehemu ya kufanyia injili otherwise kuna Yesu mwingine alikupa hayo maelekezo.