Hawa Wainjilisti kwenye Daladala wako sahihi kweli?

Kuna siku nilkua natoka moshi naenda arusha..aka panda muinjirist ka ubiri hadi koti la suti lime vujia jasho yani imagine jasho livujie adi njee ya koti la suti
 
Unazungumzia Kanisa lipi?
Kanisa lolote linalofuata maandiko ya Biblia..

Waefeso 4:11 - 15
11 Naye alitoa wengine kuwa mitume, na wengine kuwa manabii; na wengine kuwa wainjilisti na wengine kuwa wachungaji na waalimu;

12 kwa kusudi la kuwakamilisha watakatifu, hata kazi ya huduma itendeke, hata mwili wa Kristo ujengwe;

13 hata na sisi sote tutakapoufikia umoja wa imani na kumfahamu sana Mwana wa Mungu, hata kuwa mtu mkamilifu, hata kufika kwenye cheo cha kimo cha utimilifu wa Kristo;

14 ili tusiwe tena watoto wachanga, tukitupwa huku na huku, na kuchukuliwa na kila upepo wa elimu, kwa hila ya watu, kwa ujanja, tukizifuata njia za udanganyifu.

15 Lakini tuishike kweli katika upendo na kukua hata tumfikie yeye katika yote, yeye aliye kichwa, Kristo.
 
Sio makanisa yote ndugu.
Huwezi kuona wainjilisti wa RC au KKKT Wakihubiri hovyo barabarani. Haijawahi tokea nikashushudia.
Wengi wanaofanya hivyo ni Makanisa ya Ezekiel and Mckenzie type.
 
Hao jamaa huwa wananibariki sana. Huwa siachi kuwapa sadaka. Kuna mmoja wa TAG anaitwa Pastor Paulo anapanda gari za Chato kuja Mwanza. Ana mahubiri mazuri
Ukiona mtu anachukia injili basi ana shida.
 
Hawa wanakosea sana, ikitokea kila mwenye dini au dhehebu lake akitaka kutoka mahubiri sijui itakuwaje
 
Sio tatizo, wapeane shift tu. Kikubwa wazungumzie masula yanayompendeza Mungu na sio kukashifiana. Kwa nini hampendi mahubiri?
 
Wanakera sana na sio ustaarabu hata kidogo, ni makelele kama yote na ukute una stress zako au unaumwa ndo utajua wagonjwa wa akili wako kazini
 
Ni usumbufu, unakuta mtu umetulia na kutafakari mara unasikia "bwana asifiwe" anajuaje abiria wote ni jamii ya bwana asifiwe?
 
Back
Top Bottom